Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kafulila; hawezi kuwa mshauri me elekezi wa maswala ya uchimi au sera muhimu za taifa.
Hana uelewa huo, this nonsense has to stop.
Amepewa nafasi ya upendeleo anatakiwa, atulie; upuuzi na uropokaji wa huyu mtu nadhani unaanza kukera watu wengi.