Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Asiyefanya kazi na asile, Kafulila anatafuta kujipendekeza kwa Rais ila anasahau hii kazi inaua Upinzani alioujenga mwenyewe.Vipi maisha ya watu? Vipi vipato vya watu mmoja mmoja wana pesa mifukoni?
CHADEMA VILIO kila konaUtasikia ni chawa wa mama 😂😂
Wewe jamaa Kafulila nahisi alikutafuna sio BureKafulila; hawezi kuwa mshauri me elekezi wa maswala ya uchimi au sera muhimu za taifa.
Hana uelewa huo, this nonsense has to stop.
Amepewa nafasi ya upendeleo anatakiwa, atulie; upuuzi na uropokaji wa huyu mtu nadhani unaanza kukera watu wengi.
AaaarghWewe jamaa Kafulila nahisi alikutafuna sio Bure
Yaani credit, ni kafulila?View attachment 2991403
Habari JF,
Pamoja na kelele nyingi dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka, Wapinzani wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.!
Taarifa hii ya IMF naamini itakuwa si njema sana kwao kwani wakati wote na popote namba huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo au uzushi hasa kwa wale wasiolitakia mema Taifa hili.
=========
Katika ukurasa wake wa twitter (X) zamani tweeter Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya kwa ufupi ( soma hizo tweet tatu hapo chini kwa makini)
Kwa niaba yangu na familia nzima ya JF naomba kumpongeza sana Mhe David Kafulila Kwa kuendelea kuyasema mazuri yote ya Serikali ya awamu ya sita bila kujali majina mengi anayoitwa mara aitwe Chawa Promax , mara aitwe mgane et Al.
View attachment 2991401View attachment 3268468View attachment 3268469
On the basis of deduction either wewe jamaa ni Kafulila mwenyewe kwa jinsi ilivyokuwa committed kumtetea; au una maisha magumu sana ambayo mlo wako unategemea Kafulila.Yaani credit, ni kafulila?
Kazi iendelee kwa Utu.View attachment 2991403
Habari JF,
Pamoja na kelele nyingi dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka, Wapinzani wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.!
Taarifa hii ya IMF naamini itakuwa si njema sana kwao kwani wakati wote na popote namba huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo au uzushi hasa kwa wale wasiolitakia mema Taifa hili.
=========
Katika ukurasa wake wa twitter (X) zamani tweeter Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya kwa ufupi ( soma hizo tweet tatu hapo chini kwa makini)
Kwa niaba yangu na familia nzima ya JF naomba kumpongeza sana Mhe David Kafulila Kwa kuendelea kuyasema mazuri yote ya Serikali ya awamu ya sita bila kujali majina mengi anayoitwa mara aitwe Chawa Promax , mara aitwe mgane et Al.
View attachment 2991401View attachment 3268468View attachment 3268469
Umeandika vitu vingi ila havina mantiki kabisa,On the basis of deduction either wewe jamaa ni Kafulila mwenyewe kwa jinsi ilivyokuwa committed kumtetea; au una maisha magumu sana ambayo mlo wako unategemea Kafulila.
Tabia pia ni science, you can deduce behaviour na kumjua mtu.
Mie sio wa mzaha-zaha nikiamua
If you want to play psychology, we can play that game.
Pathetic like I told you before
Havina mantiki kivipi? Based on behaviour analysis ya mtu niliekuwa najibizana nae?Umeandika vitu vingi ila havina mantiki kabisa,
Nahisi unamuda wa kuchezea
Wewe huna uwezo wa kumfanyia Kafulila character assassination kwani ameshavuka hizo level.Havina mantiki kivipi? Based on behaviour analysis ya mtu niliekuwa najibizana nae?
Muda wa kuchezea leo ninao
I doubt kama unauelewa wa disagreement na character assassination.Wewe huna uwezo wa kumfanyia Kafulila character assassination kwani ameshavuka hizo level.
Kafulila ni mtu wa facts tu with evidence
Shida ni kwamba I doubt kama Kafulila anajua hata hizo formula za inflow or outflow za GDP.GDP is an outdated measurement. It was not even intended to be used as an economy measurement.
Read the Nobel laureate Joseph Stiglitz (Nobel Memorial Prize in Economic Sciences in 2001) on this subject.
It's time to retire metrics like GDP. They don't measure everything that matters | Joseph Stiglitz
The way we assess economic performance and social progress is fundamentally wrong, and the climate crisis has brought these concerns to the forewww.theguardian.com
GDP Is the Wrong Tool for Measuring What Matters
It’s time to replace gross domestic product with real metrics of well-being and sustainabilitywww.scientificamerican.com
Ugomvi unaanza hapa,View attachment 2991403
Habari JF,
Pamoja na kelele nyingi dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka, Wapinzani wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.!
Taarifa hii ya IMF naamini itakuwa si njema sana kwao kwani wakati wote na popote namba huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo au uzushi hasa kwa wale wasiolitakia mema Taifa hili.
=========
Katika ukurasa wake wa twitter (X) zamani tweeter Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya kwa ufupi ( soma hizo tweet tatu hapo chini kwa makini)
Kwa niaba yangu na familia nzima ya JF naomba kumpongeza sana Mhe David Kafulila Kwa kuendelea kuyasema mazuri yote ya Serikali ya awamu ya sita bila kujali majina mengi anayoitwa mara aitwe Chawa Promax , mara aitwe mgane et Al.
View attachment 2991401View attachment 3268468View attachment 3268469
Kwahiyo GDP inapima Nini?GDP is an outdated measurement. It was not even intended to be used as an economy measurement.
Read the Nobel laureate Joseph Stiglitz (Nobel Memorial Prize in Economic Sciences in 2001) on this subject.
It's time to retire metrics like GDP. They don't measure everything that matters | Joseph Stiglitz
The way we assess economic performance and social progress is fundamentally wrong, and the climate crisis has brought these concerns to the forewww.theguardian.com
GDP Is the Wrong Tool for Measuring What Matters
It’s time to replace gross domestic product with real metrics of well-being and sustainabilitywww.scientificamerican.com
Umesoma hizo links mbili nilizoweka hapo juu?Kwahiyo GDP inapima Nini?
Sawa, kazi na utu viendeleeSafi sana Kafulila tunataka wateule wanaofafanua mambo mazuri ya Rais wetu sio kurandaranda na v8 tu
CCM ndio ChamaSawa, kazi na utu viendelee
Wewe ni kilaza tu sijui ata unaelimu ganiShida ni kwamba I doubt kama Kafulila anajua hata hizo formula za inflow or outflow za GDP.
Anaropoka tu