Ukichelewa kulipia Express way, tutakuacha kwenye foreni na maloriKweli hii awamu ya mzanzibari imefilisika kimawazo.pesa zote alizokopa,Kodi tunazokamuliwa,misaada na zinginezo ambazo zingejenga barabara ya njia sita kutoka dar Hadi kigoma wao wanatuletea takataka ya kulipia?.yaani Ninunue gari yangu Kodi nakatawa,mafuta Kodi nakatawa,na barabara Tena duh!
Punguzeni porojo kazi zianze mara MojaView attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Mbona mlaji anayo Choice piaYaleyale kumuumiza mlaji
ubaguzi mpaka kwenye barabaraMbona mlaji anayo Choice
Cheap is always expensive, Wacha tuone itakuwajeubaguzi mpaka kwenye barabara
BWANAA EEH MKOPO ALAFU MTULIPISGE MSITUCHOSHEEView attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Kazi kuwaumiza tu wananchi! Kwani serikali imeshindwa kuijenga hiyo barabara tukapita bila malipo. Kwani Kodi tunazolipa wananchi kazi yake Nini?Umeambiwa ni mwekezaji sio za serikali
Hakyamungu wajawazito watafia kwenye foleni kisa hawana prsa za kupita kule xpress,Kazi kuwaumiza tu wananchi! Kwani serikali imeshindwa kuijenga hiyo barabara tukapita bila malipo. Kwani Kodi tunazolipa wananchi kazi yake Nini?
0.5D,,ππ,π€£π€£π€£ Nusu degree ni ngapi?
Hizo pesa nyingi tunazo zipo wapi?Hata hiyo ni ya umma.kwa pesa tulizonazo nyingi hakuhitaji kuwa na toll road isipokuwa tuzitumie vizizuri pesa zetu kupanua barabara ili kuondoa msongamono.hizi toll road iwe kipaumbele Cha baadae sana.
Kafurila naye kawa chawa wa Samia huu mradi aliisha wahi kuusema Kinana kama miaka miwili imepita,hakuna kinacho endelea me nafikiri tokea Kinana aseme Sasahivi wangeliisha anza tena Kinana alisema watajenga hadi tunduma.Serikali ya Samia imebakiza maneno tu vitendo zero Barabara ya mbezi Kibaha yenyewe imewashinda kumalizia mpaka Sasahivi,tunataka kuona matendo sio blaablaa.View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
View attachment 2985383

Kwa hiyo treni ya mwendokasi,kazi yake itakuwa ni nini?View attachment 2985383

Na Lucas Mwashambwa ,π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Vyeti Feki wote waliotumbuliwa na Shujaa Magufuli Watunukiwe Nusu Degree
Akina ChoiceVariable na Retired ππ
Mtanikumbuka ππππ
Tatizo Kuna watu hawaelewi Kila kitu katika Taifa hiliHizo pesa nyingi tunazo zipo wapi?