Kafulila: Tanzania kwa mara ya kwanza tunajenga barabara za kisiasa za kulipia 150km kutoka Kibaha Pwani-Morogoro bila Fedha ya Serikali

Kweli hii awamu ya mzanzibari imefilisika kimawazo.pesa zote alizokopa,Kodi tunazokamuliwa,misaada na zinginezo ambazo zingejenga barabara ya njia sita kutoka dar Hadi kigoma wao wanatuletea takataka ya kulipia?.yaani Ninunue gari yangu Kodi nakatawa,mafuta Kodi nakatawa,na barabara Tena duh!
Ukichelewa kulipia Express way, tutakuacha kwenye foreni na malori
 
View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.

Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.

Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.

Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.

Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.

Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.

===​
Punguzeni porojo kazi zianze mara Moja
 
BWANAA EEH MKOPO ALAFU MTULIPISGE MSITUCHOSHEE
 
Ukiwa na mchongo bwana. Yaani unaona kila unaloongea lina uzito hata kama haujashirikisha akili yako sawa sawa.

Aliyekuwa ni mwanaume wa shoka ni Magufuli tu, akisema anafanya ndani ya muda huo huo. Hawa waliosalia ni wapiga domo tu. Miaka nenda rudi tunapambana na ahadi kazi kuongea tu maneno mengi ila hakuna uhalisia wa mambo.
 
Kuna wazungu walikuja kuwekeza usambazaji maji dar kipindupindu kilitamalaki dar, tuliwatimua wakatushitaki miga tukawalipa mamilioni, hatukomi tu, tunakuja na porojo nyingine
 
Hawa Watu Walitakiwa Kutandikwa Viboko Hadharani
Unaacha Barabara Aliyojenga Mzilankende
Uipeleke Mpaka Morogoro, Iwe Free

Unajenga Mpya Ambayo Itakuwa Ya Malipo Bila Aibu
Mabasi Yatakapopita Njia Ya Malipo Nauli Itapanda Ambapo Mzigo Utarudi Kwa Wananchi Tena
 
View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.

Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.

Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.

Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.

Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.

Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.

===​
Kafurila naye kawa chawa wa Samia huu mradi aliisha wahi kuusema Kinana kama miaka miwili imepita,hakuna kinacho endelea me nafikiri tokea Kinana aseme Sasahivi wangeliisha anza tena Kinana alisema watajenga hadi tunduma.Serikali ya Samia imebakiza maneno tu vitendo zero Barabara ya mbezi Kibaha yenyewe imewashinda kumalizia mpaka Sasahivi,tunataka kuona matendo sio blaablaa.
View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.

Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.

Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.

Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.

Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.

Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.

===​
 
View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.

Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.

Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.

Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.

Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.

Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.

===​
Kwa hiyo treni ya mwendokasi,kazi yake itakuwa ni nini?

Nchi kwa upigaji hii!!!!
 
Back
Top Bottom