Tunatumia njia zote zote kwani shida iko wapi?Kwa hiyo treni ya mwendokasi,kazi yake itakuwa ni nini?
Nchi kwa upigaji hii!!!!
Ni nadra sana kwa viongozi wa juu wa Serikali hii kutoa Majibu namna hii kwa wananchi,View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Misuse of resources.Tunatumia njia zote zote kwani shida iko wapi?
Umeambiwa hizi barabara hazijengwi kwa pesa ya Serikali,Misuse of resources.
Katavi hawana barabara za kueleweka kwa nini usijikite kuendeleza na huko?
Kwani sisi hatuna hiyo TZS2T?View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Tunayo ila mahitaji ni makubwa sana ndio sababu nchi unaamua kutumia pesa ya Kampuni binafsiKwani sisi hatuna hiyo TZS2T?
This time kwa Kafulila naamini itajengwa lazimaHiyo barabara ijengwe tuone... maana hadithi zimekuwa nyingi sana.
Rais Samia hana mchezo kabisa kwenye vitu serious kama hivi, lazima inakamilikaThis time kwa Kafulila naamini itajengwa lazima
Tupambaneni tunawezaHii kitu ipo sana huko Ulaya na Asia mfano ni Chine,
Tumechelewa sana.
Unahakika hizo barabara China zimejengwa na watu binafsi, na siyo serikali? Toa mfano mmoja tu wa barabara za namna hiyo unatosha.Hii kitu ipo sana huko Ulaya na Asia mfano ni Chine,
Tumechelewa sana.
Serikali ya huyu mama hawataki kabisa kusikia lugha ya aina hiyo unayotumia wewe.Tupambaneni tunaweza
Wewe unatakaje mkuu mbona kama unalalamika sana?Serikali ya huyu mama hawataki kabisa kusikia lugha ya aina hiyo unayotumia wewe.
Mungu atuonee huruma, serikali ya aina hii tukiendelea nayo miaka mingine zaidi ya 2025, tuakuwa watumwa.
Kiongozi huyu anaua kabisa uthubutu wetu wa kujifanyia baadhi ya mambo yetu wenyewe. Kila kitu anataka kufanyiwa tu, sijui alilelewa namna gani huyu.
Haya ni matokeo ya kulelewa kama yai vile, hujiamini kwa chochote, hata kupanda misitu tu, nchi yetu ipendeze, inalazimu tuwalete watu toka jangwani, kusikokuwa na misitu, waje hapa kututumia sisi kufanya kazi ambayo tuna uwezo nayo.
Hajui km express highway ipo thika to NairobiHata hapo Kenya zipo
Ni ngumu, hii kazi inafanywa na watu wengi sio rahisi kufanya huo uhuni msikilize Vizuri KafulilaUnahakika hizo barabara China zimejengwa na watu binafsi, na siyo serikali? Toa mfano mmoja tu wa barabara za namna hiyo unatosha.
Sasa angalia hapa tunavyopigwa na hawa akina Kafulila. Gharama ya ujenzi huo inatengenezwa kuwa kubwa kwa maksudi, ili huyo wanayempa ulaji huo, na yeye atupige zaidi na kwa muda mrefu sana. Ndiyo maana kawataja watoto, anajuwa mwekezaji huyo atakamua hadi kizazi hiki kilichopo leo kiwe kimekwisha kabisa!
Hiyo ni hela kiasi gani atakachokusanya hapa!
Watanzania walalamishi sana aiseHajui km express highway ipo thika to Nairobi
Hivi kule bandari kavu kwala bado hapajakamilika? Barabara ya zege ishakamilika,Hiyo pesa wangemalizia bandari kavu ya kwala na malori yote kuzuiwa kuingia dar kuishia huko kwala,pesa wangeteneza 4 lanes kibaha to moro nyingine wakajenga barabara za mitaani
Bandari kavu ziko nyingi wewe unasemea ipi?Hivi kule bandari kavu kwala bado hapajakamilika? Barabara ya zege ishakamilika,