Kafulila: Tanzania kwa mara ya kwanza tunajenga barabara za kisiasa za kulipia 150km kutoka Kibaha Pwani-Morogoro bila Fedha ya Serikali

View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.

Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.

Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.

Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.

Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.

Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.

===​
Ni nadra sana kwa viongozi wa juu wa Serikali hii kutoa Majibu namna hii kwa wananchi,
Nampongeza Kafulila na viongozi wengine waingi utaratibu huu wa kutoa ufafanuzi
 
View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.

Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.

Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.

Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.

Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.

Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.

===​
Kwani sisi hatuna hiyo TZS2T?
 
Hii kitu ipo sana huko Ulaya na Asia mfano ni Chine,
Tumechelewa sana.
Unahakika hizo barabara China zimejengwa na watu binafsi, na siyo serikali? Toa mfano mmoja tu wa barabara za namna hiyo unatosha.

Sasa angalia hapa tunavyopigwa na hawa akina Kafulila. Gharama ya ujenzi huo inatengenezwa kuwa kubwa kwa maksudi, ili huyo wanayempa ulaji huo, na yeye atupige zaidi na kwa muda mrefu sana. Ndiyo maana kawataja watoto, anajuwa mwekezaji huyo atakamua hadi kizazi hiki kilichopo leo kiwe kimekwisha kabisa!
Hiyo ni hela kiasi gani atakachokusanya hapa!
 
Tupambaneni tunaweza
Serikali ya huyu mama hawataki kabisa kusikia lugha ya aina hiyo unayotumia wewe.
Mungu atuonee huruma, serikali ya aina hii tukiendelea nayo miaka mingine zaidi ya 2025, tuakuwa watumwa.
Kiongozi huyu anaua kabisa uthubutu wetu wa kujifanyia baadhi ya mambo yetu wenyewe. Kila kitu anataka kufanyiwa tu, sijui alilelewa namna gani huyu.
Haya ni matokeo ya kulelewa kama yai vile, hujiamini kwa chochote, hata kupanda misitu tu, nchi yetu ipendeze, inalazimu tuwalete watu toka jangwani, kusikokuwa na misitu, waje hapa kututumia sisi kufanya kazi ambayo tuna uwezo nayo.
 
Wewe unatakaje mkuu mbona kama unalalamika sana?
 
Unahakika hizo barabara China zimejengwa na watu binafsi, na siyo serikali? Toa mfano mmoja tu wa barabara za namna hiyo unatosha.

Sasa angalia hapa tunavyopigwa na hawa akina Kafulila. Gharama ya ujenzi huo inatengenezwa kuwa kubwa kwa maksudi, ili huyo wanayempa ulaji huo, na yeye atupige zaidi na kwa muda mrefu sana. Ndiyo maana kawataja watoto, anajuwa mwekezaji huyo atakamua hadi kizazi hiki kilichopo leo kiwe kimekwisha kabisa!
Hiyo ni hela kiasi gani atakachokusanya hapa!
Ni ngumu, hii kazi inafanywa na watu wengi sio rahisi kufanya huo uhuni msikilize Vizuri Kafulila
 
Back
Top Bottom