Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Sasa Kama Kenya ni Tajiri na inadeni kubwa why nasis tusikope ili tuwe matajiri?Anajipendekeza kijinga sana.
Mfano Kenya ina deni kubwa kuliko Tanzania lakini ni matajiri(national income) ni kubwa kuliko sisi.
This roughly means that tunatumia mikopo yetu kwa mambo yasiyo na tija.
Ni ujinga kulinganisha ugonjwa wako na wa mtu mwingine badala ya kutafuta tiba!Ila Kafulila huwa napenda Sana hoja zake kwa unazungumza kwa data,
#Uishi milele brother,
Haya BAVICHA njooni mlete data na ninyi ili kumpinga Kafulila,
Sisi tunakopa kujenga vyoo vya shule, madarasa, vituo vya afya na kulipia tozo Za bei Za mafuta.Sasa Kama Kenya ni Tajiri na inadeni kubwa why nasis tusikope ili tuwe matajiri?
Alimtukana Kinana, sasa amekuwa msanii Mkulima.
Kwani kulima ni jambo baya?Alimtukana Kinana, sasa amekuwa msanii Mkulima.
Mkuu unazingua sasa, yaani Kenya awe na vyanzo vingi kutuzidi Tanzania?Tatizo na uwezo wa kulipa. Sidhani kama tuna vyanzo vizuri na vingi kama Kenya. Mkopo unachukuliwa kasoro ya uwezo wa kulipa. Wakopeshaji hawakopeshi wahamisha madeni,wapiga mizinga,betting. Wanakopesha mtu anaweza thibitisha anaenda zungusha na kuleta marejesho.
Uwezo wao wa kulipa Ni mdogo ndio maana wako kwenye default ya kushindwa kulipa Deni,Tanzania hatuko sasa hapo unasemaje?Anajipendekeza kijinga sana.
Mfano Kenya ina deni kubwa kuliko Tanzania lakini ni matajiri(national income) ni kubwa kuliko sisi.
This roughly means that tunatumia mikopo yetu kwa mambo yasiyo na tija.
Tuoneshe Kenya walipokopa kujenga viwanda?Sisi tunakopa kujenga vyoo vya shule, madarasa, vituo vya afya na kulipia tozo Za bei Za mafuta.
Sisi tunakopa, tukisha kopa mkopo huo huo tunagawana tena huo mkopo na Zanzibar,ikifika wakati wa kulipa mkopo Zanzibar anapiga kimya bara analipa mwenyewe.
Wenzetu kenya wanakopa kujenga viwanda na kusaidia sekta binafsi Ili ikue izalishe mapato na ajira Za kutosha.
Wenzetu kenya akikopa mkopo unatumwa site kufanya kazi iliyokopewa Hakuna kugawana mkopo
Tuoneshe Kenya walipokopa kujenga viwanda?
Mara nyingi huwa nasema huko Chadema kumejaa maboga yasiyi na akili,Viwanda vinajengwa na Serikali? Taja kiwanda 1 kikichojengwa na Pesa ya mkopo huko Kenya..
Majinga Kama nyie ndio eti mnataka kuja kuongoza Nchi 😆😆
Huyo mkemia Ni mpumbavuShinyanga: Mkemia Mkuu asema maji na tope la bwawa la Mgodi wa Almasi wa Williamson Diamond Ltd (WDL) havina madhara kwa binadamu
Meneja ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Ziwa, Musa Kuzumila amesema kuwa maji na tope la bwawa la Mgodi wa Almasi wa Williamson Diamond Ltd (WDL) havina madhara yoyote hivyo wananchi wanaruhusiwa kutumia na kunywesha mifugo kama kawaida. Maji na tope hilo yametokana na bwawa la...www.jamiiforums.com
Kwa hulka ya Kafulila ya kurukaruka kutoka chama kimoja kwenda kingine hana tofauti na tumbili ambaye maisha yake ni kuruka toka tawi moja la mti kwenda lingine.Hivi yule bwana mkubwa alifikiria nini hadi kutamka "TUMBILI"
Tatizo la wacommumist duniani ni ujinga uliokithiri na ku underestimate watu na nchi. Hata majengo na mareli mmejenga sio muda mtatani kubomoa. Yatakuwa yanakula hela kuliko huduma za afya.Mkuu unazingua sasa, yaani Kenya awe na vyanzo vingi kutuzidi Tanzania?
Tanzania kinachotu cost Ni elimu ya biashara, kwenye eneo hili Yuko nyuma Sana kutokana na Sera za kijamaa ila kwa maana ya fursa za kupata Pesa kulipa madeni ziko nyingi sana..
Huwezi kuwa sahihi kwa hili, Ujamaa Uko China na hakuna MadeniMadeni mengi ni matunda ya sera mbovu za Ujamaa
Mpo wengi sana wajinga ila mnajiamini sana. Ndio hamkuamini Russia angetoka kamasi Ukraine. Wajamaa ni wajinga wiki zote ndio maana bepari ana win kila siku mnabaki kujiita wajanja na baadaye mnahamia kusema mnaibiwa.Huwezi kuwa sahihi kwa hili, Ujamaa Uko China na hakuna Madeni
Njaa mbaya wewe usiombeTatizo la wasomi wetu ndo hili
Kutetea ujinga ili waitwe kwenye meza ya kula