Kafulila: Tumemkataa mbia barabara ya kulipia Kibaha -Chalinze kwa maslahi mapana ya nchi yetu

Ulimwengu saizi uko kwenye uncertainty hakuna investor wa kukupa bei chee.

Harafu mnashundwa nini kuwaalika wawekezaji kama pension funds nk wajenge harafu Mtakuwa mnalipana?

Yaani wao wawe wanatoza hela
 
Ujinga tuu,kwani Nchi zingine wanafanyaje na Kwa gharama gani?
 
Safi sana Kafulila tunakuamini
 
Ulimwengu saizi uko kwenye uncertainty hakuna investor wa kukupa bei chee.

Harafu mnashundwa nini kuwaalika wawekezaji kama pension funds nk wajenge harafu Mtakuwa mnalipana?

Yaani wao wawe wanatoza hela
Nadhani sheria
 
Hamna kitu hapo Dana Dana tu hizo zero brain.
1. Kuhamia Dodoma Magufuli
2. Bwana la Nyerere Magufuli
3. Mbezi kibaha Magufuli
3. SGR Magufuli

Tusubiri. Magufuli mwingine kwa kibaha chalinze waliopo hawana akili na uzalendo
Hata bandari Magufuli aliingiza 2 billion dollars kuiendeleza, wao wamekuja kumpa zawadi mwarabu badala ya kuendeleza original master plan ya JPM
 
Sasa hiyo taarifa sisi ya nini? Kwani kumkataa mbia au mkandarasi si ni jambo la kawaida tu.
Tunachosubiri kusikia ni kuwa Mbia amepatikana, sio kumkataa huyu ama yule. Kwahiyo akijq mwingine na mkimkataa mtataka mtuambie tena?
Ni kama mnatafuta visingizio vya kuchelewesha mradi. Halafu bajeti yenyewe ni ya kawaida sana, Trillion moja si ya kushindwa kutolewa na serikali. Mkishindwa kabisa fanyeni hata harambee, kama mliyofanya wakati wa Uchaguzi, 500b chapu zinapatikana na nyingine mtoe kwenye Kodi zetu.
 
Akili zako ni kidogo sana
 
Hoja sio haraka ya mradi Bali maslahi ya Taifa Kwanza
 
Unaelewa ulichoandika?
Yes kuipanua na kuiendeleza bandari JPM aliweka 2 billion kabla hata ya SGR, alikuwa anajua pale ndio engine ya kuchapisha pesa na hakutaka beberu pale alijua tunaweza, leo tunagawana na DP world wahuni waliopewa 24 hours kufungasha virago US,anachofanya DP tungeweza kufanya wenyewe ๐Ÿ’ฏ, kawekeweza less than 300m$ atakusanya zaidi ya miaka 30,uhuni mtupu
 
kafulila sawa
 
sekta binafsi kwa makisio ya zaidi ya Shilingi trilioni moja (1,000,000,000,000), imekataliwa na serikali kwa maslahi mapana ya Taifa

Uongo mwingi sana kutoka kwa dalali mkuu

February 8, 2024
๐—ฃ๐—จ๐—•๐—Ÿ๐—œ๐—–-๐—ฃ๐—ฅ๐—œ๐—ฉ๐—”๐—ง๐—˜ ๐—ฃ๐—”๐—ฅ๐—ง๐—ก๐—˜๐—ฅ๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ฃ๐—ง๐—ต๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ ๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฒ๐˜€๐—ฒ ๐—ณ๐—ถ๐—ฟ๐—บ๐˜€ ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—น๐—ถ๐˜€๐˜๐—ฒ๐—ฑ ๐—ณ๐—ผ๐—ฟ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ'๐˜€ ๐—ณ๐—ถ๐—ฟ๐˜€๐˜ ๐—ฃ๐—ฃ๐—ฃ ๐—ฒ๐˜…๐—ฝ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐˜€๐˜„๐—ฎ๐˜†*

PPP chief David Kafulila hails the milestone as a landmark moment in the country's journey towards sustainable economic development*

The estimated $340 million project will involve using private funding to build a four-lane Kibaha-Mlandizi-Chalinze expressway *

The next phases will see construction of the Chalinze-Morogoro and Morogoro-Dodoma expresways, ultimately linking commercial hub Dar es Salaam and the capital Dodoma with a high-speed highway

๐‘ฉ๐’š ๐‘ป๐‘ฉ๐‘ฐ ๐‘น๐’†๐’‘๐’๐’“๐’•๐’†๐’“

Dar es SalaamTanzania has shortlisted three Chinese companies out of nine initial bidders for the construction of the country's first expressway that will be built using private funding under the public-private partnership (PPP) framework.

The project will involve construction of a four-lane Kibaha-Mlandizi-Chalinze expressway at an estimated cost of $340 million.

The 78.9-kilometre road will be built and maintained by private funding as a toll road.

The shortlisted companies are China Communications Construction Company Ltd (CCCC), China Railway Construction Corporation Ltd (CRCC) and a consortium of China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) and China Railway Construction Engineering Group (CRCEG).

The government will evaluate technical and financial proposals of the three final bidders and announce the winning bid.

"This is a very important moment that begins our journey of connecting Dar es Salaam and Dodoma with an expressway," David Kafulila (pictured), Executive Director of the PPP Centre told ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฏ๐™–๐™ฃ๐™ž๐™– ๐˜ฝ๐™ช๐™จ๐™ž๐™ฃ๐™š๐™จ๐™จ ๐™„๐™ฃ๐™จ๐™ž๐™œ๐™๐™ฉ.

He emphasized the importance of private sector involvement in infrastructure development. Under the new PPP model, the private sector designs, builds, finances, operates and maintains the road.

At the end of the concession period, ownership of the project is transferred to the government.

The CRCC, which is among the three shortlisted companies, was involved in building the 27.1km Nairobi Expressway, which was launched in 2022 as Kenya's first PPP highway.

The Kibaha-Mlandizi-Chalinze section will be followed by construction of the Chalinze-Morogoro (126.1km) and Morogoro-Dodoma (258 km) expressways. ๐‘จ ๐‘ฉ๐‘จ๐‘ต๐‘ฒ๐‘จ๐‘ฉ๐‘ณ๐‘ฌ ๐‘ท๐‘น๐‘ถ๐‘ฑ๐‘ฌ๐‘ช๐‘ปA total of 9 bidders had initially expressed interest in the project, suggesting that the PPP framework in construction of public infrastructure in Tanzania is now attracting major foreign investors.

The initial bidders included a joint venture of Yapi Merkezi Insaat Ve Sanayi A.S. and Egis Projects SAS (Turkey/France) and a consortium of Meridiam Infrastructure Africa Fund II and Mota-Engil (France/Portugal).

According to a pre-feasibility study by the Tanzania National Roads Agency (TANROADS), the project will facilitate investment and regional trade by reducing congestion and improving access to neighbouring countries, including Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC and Zambia.


Construction of the highway will also increase land value and give an impetus to the real estate sector in the surrounding areas.

PPPs allow large-scale government projects, such as roads, bridges and other public infrastructure to be completed with private funding.

These partnerships work well when private sector technology and innovation combine with public sector incentives to complete work on time and within budget.

"Research indicates that Tanzania's existing infrastructure meets only 30% of the anticipated demand by 2050. Addressing this shortfall requires tripling infrastructure development compared to the past century," Kafulila said.

"Toll-based financing is proposed to ensure sustainability and address congestion issues, with current travel times between Dar es Salaam and Morogoro exceeding double the ideal duration due to traffic congestion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ