Mwendokasi tu naona inawatoa Jasho, Mwenge apo na Kule Tegeta progress Iko very slow, Nawaza tu aisee Magufuli aliwezaje Kila Mkoa Kuweka Project ambayo ni tangible na Ina manufaa Kwa UmmaHata bandari Magufuli aliingiza 2 billion dollars kuiendeleza, wao wamekuja kumpa zawadi mwarabu badala ya kuendeleza original master plan ya JPM
Mzee JPM (RIP) alijua akili za watendaji wengi wa serikali uwezo ni mdogo(Hili hata Prof.Assad kasha wahi SEMA almost 60% ya wafanyakasi wa serikali uwezo mdogo)ndo maana alipenda "one man show" mambo ya vikao Kila uchwao na kulipana posho aliona ni ujinga na upumbavu.Mwendokasi tu naona inawatoa Jasho, Mwenge apo na Kule Tegeta progress Iko very slow, Nawaza tu aisee Magufuli aliwezaje Kila Mkoa Kuweka Project ambayo ni tangible na Ina manufaa Kwa Umma
Magufuli ameacha alama kubwa sana yule mzee Kwa sasa Sioni kabisa hawa jamaa waki launch project kubwa labda visiwani uko
NzuriDavid Kafulila, akizungumza na wananchi kupitia kituo cha runinga cha ITV, amewataarifu Watanzania kuwa barabara ya Kibaha–Chalinze, iliyotarajiwa kujengwa kwa mfumo wa ubia kati ya serikali na sekta binafsi kwa makisio ya zaidi ya Shilingi trilioni moja (1,000,000,000,000), imekataliwa na serikali kwa maslahi mapana ya Taifa.
Kafulila, ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC, amesema serikali ilifanya tathmini ya gharama za mradi mzima kabla ya kutangaza kwa sekta binafsi. Kampuni 9 zilionesha nia ya kushiriki, ambapo moja ilitoka Uturuki na zilizosalia kutoka China. Kati ya hizo, 5 zilionesha sifa stahiki, na 3 zikachaguliwa kuwasilisha nyaraka. Hata hivyo, ni kampuni moja tu kutoka China ndiyo iliwasilisha nyaraka hizo.
Mkurugenzi Kafulila ameeleza kuwa mwekezaji huyo alikuja na gharama kubwa zaidi ya ile iliyotathminiwa na serikali. Kwa msingi huo, serikali ilikataa kuendelea na mkandarasi huyo, akisisitiza kuwa kufanya hivyo kungeumiza Taifa na wananchi watakaotumia barabara hiyo kwa muda mrefu.
Aidha, Kafulila amesema serikali inaendelea na mazungumzo na wawekezaji wengine kupitia Special Arrangement kwa usimamizi wa TANROADS.
Nzuri sanaDavid Kafulila, akizungumza na wananchi kupitia kituo cha runinga cha ITV, amewataarifu Watanzania kuwa barabara ya Kibaha–Chalinze, iliyotarajiwa kujengwa kwa mfumo wa ubia kati ya serikali na sekta binafsi kwa makisio ya zaidi ya Shilingi trilioni moja (1,000,000,000,000), imekataliwa na serikali kwa maslahi mapana ya Taifa.
Kafulila, ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC, amesema serikali ilifanya tathmini ya gharama za mradi mzima kabla ya kutangaza kwa sekta binafsi. Kampuni 9 zilionesha nia ya kushiriki, ambapo moja ilitoka Uturuki na zilizosalia kutoka China. Kati ya hizo, 5 zilionesha sifa stahiki, na 3 zikachaguliwa kuwasilisha nyaraka. Hata hivyo, ni kampuni moja tu kutoka China ndiyo iliwasilisha nyaraka hizo.
Mkurugenzi Kafulila ameeleza kuwa mwekezaji huyo alikuja na gharama kubwa zaidi ya ile iliyotathminiwa na serikali. Kwa msingi huo, serikali ilikataa kuendelea na mkandarasi huyo, akisisitiza kuwa kufanya hivyo kungeumiza Taifa na wananchi watakaotumia barabara hiyo kwa muda mrefu.
Aidha, Kafulila amesema serikali inaendelea na mazungumzo na wawekezaji wengine kupitia Special Arrangement kwa usimamizi wa TANROADS.
Unamaanisha huoni yote yaliyofanywa na CCM?Lazima watatoa boko hata wafanyeje CCM haijawahi kufanikisha jambo likawa solution...
Hii comment itakuja kukumbukwa siku
Unamaanisha huoni yote yaliyofanywa na CCM?
Sio sawaHujaona neno hawajawahi fanikisha jambo likawa "solution" au hujaelewa?
kuhusu nini?Sio sawa
nawaunga mkono ni kazi nzuriDavid Kafulila, akizungumza na wananchi kupitia kituo cha runinga cha ITV, amewataarifu Watanzania kuwa barabara ya Kibaha–Chalinze, iliyotarajiwa kujengwa kwa mfumo wa ubia kati ya serikali na sekta binafsi kwa makisio ya zaidi ya Shilingi trilioni moja (1,000,000,000,000), imekataliwa na serikali kwa maslahi mapana ya Taifa.
Kafulila, ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC, amesema serikali ilifanya tathmini ya gharama za mradi mzima kabla ya kutangaza kwa sekta binafsi. Kampuni 9 zilionesha nia ya kushiriki, ambapo moja ilitoka Uturuki na zilizosalia kutoka China. Kati ya hizo, 5 zilionesha sifa stahiki, na 3 zikachaguliwa kuwasilisha nyaraka. Hata hivyo, ni kampuni moja tu kutoka China ndiyo iliwasilisha nyaraka hizo.
Mkurugenzi Kafulila ameeleza kuwa mwekezaji huyo alikuja na gharama kubwa zaidi ya ile iliyotathminiwa na serikali. Kwa msingi huo, serikali ilikataa kuendelea na mkandarasi huyo, akisisitiza kuwa kufanya hivyo kungeumiza Taifa na wananchi watakaotumia barabara hiyo kwa muda mrefu.
Aidha, Kafulila amesema serikali inaendelea na mazungumzo na wawekezaji wengine kupitia Special Arrangement kwa usimamizi wa TANROADS.
Safi sanaDavid Kafulila, akizungumza na wananchi kupitia kituo cha runinga cha ITV, amewataarifu Watanzania kuwa barabara ya Kibaha–Chalinze, iliyotarajiwa kujengwa kwa mfumo wa ubia kati ya serikali na sekta binafsi kwa makisio ya zaidi ya Shilingi trilioni moja (1,000,000,000,000), imekataliwa na serikali kwa maslahi mapana ya Taifa.