Kafulila: Tumemkataa mbia barabara ya kulipia Kibaha -Chalinze kwa maslahi mapana ya nchi yetu

Bado tuna safari ndefu.
Mradi wa trilioni Moja nao tufanye kwa ubia fedha ambayo hailipwi in a single day.
Hiyo barabara kwa sasa imezidiwa.
kwani hatuna vipaumbele
 
Lazima watatoa boko hata wafanyeje CCM haijawahi kufanikisha jambo likawa solution...

Hii comment itakuja kukumbukwa siku
 
Wakuu hio Barabara ni Kichomi sana Yani ni kero sana kuanzia Maili Moja apo mpaka Vigwaza, Lane mbili ni tabu tupu na Eneo tayari makazi yanaongezeka

Magufuli angekuwa Hai huo mradi ungekuwa ushatoboa chalinze
 
Hata bandari Magufuli aliingiza 2 billion dollars kuiendeleza, wao wamekuja kumpa zawadi mwarabu badala ya kuendeleza original master plan ya JPM
Mwendokasi tu naona inawatoa Jasho, Mwenge apo na Kule Tegeta progress Iko very slow, Nawaza tu aisee Magufuli aliwezaje Kila Mkoa Kuweka Project ambayo ni tangible na Ina manufaa Kwa Umma

Magufuli ameacha alama kubwa sana yule mzee Kwa sasa Sioni kabisa hawa jamaa waki launch project kubwa labda visiwani uko
 
Mzee JPM (RIP) alijua akili za watendaji wengi wa serikali uwezo ni mdogo(Hili hata Prof.Assad kasha wahi SEMA almost 60% ya wafanyakasi wa serikali uwezo mdogo)ndo maana alipenda "one man show" mambo ya vikao Kila uchwao na kulipana posho aliona ni ujinga na upumbavu.

Mradi wa 1t sio wa kusumbua hili taifa ni wazi kwamba huko serikali wengi hawajui majukumu Yao sawa sawa.
 
Nzuri
 
Nzuri sana
 
Lazima watatoa boko hata wafanyeje CCM haijawahi kufanikisha jambo likawa solution...

Hii comment itakuja kukumbukwa siku
Unamaanisha huoni yote yaliyofanywa na CCM?
 
nawaunga mkono ni kazi nzuri
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…