Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

Huyu Kafulila ndo amebaki mwana propaganda mashuhuri na mficha madhaifu ya serikali kuliko hata viongozi wa chama na serikali.

Huyu anawafaa CCM mkimpeleka ikulu awe msemaji wa serikali
Nikweli
 
Huyu Kafulila ndo amebaki mwana propaganda mashuhuri na mficha madhaifu ya serikali kuliko hata viongozi wa chama na serikali.

Huyu anawafaa CCM mkimpeleka ikulu awe msemaji wa serikali
Ametiririka na data by 100%,siyo yule bwege anayelia mbuga zimeuzwa akiambiwathibitisha anaanza ku jamba jamba.
 
Mijadala mzuri sana huu
 
Hakuna shida tatizo ni hawa CHADEMA,
Kama Dunia yote inakopa?
Sisi ni akina nani?

Asante sana Kafulila
Unaiwaza Sana CHADEMA. Kaleta mada mwana CCM , ila kwa unafiki wako unaitaja CHADEMA. Tatizo mnawaza Sana CHADEMA ndio maana mnateua marehemu kwenye teuzi.
 
NI BORA KUPATA POINT ZA KAFULILA MARA 1000,ZAIDI KULIKO KUUSIKILIZA UTUMBO MAVI ANAOUZUNGUMZA LISSU
HUWA HAZUNGUMZII MAMBO YA KIAKILI YA KUJENGA TAIFA NA KUWAELEWESHA WATANZANIA TUNAKWENDA WAPI?
Wewe unawazaga Siasa tu. Ukue basi. Watu wabishana kwa hoja wewe unataja personalities.
 
Sababu kuu ya kukopa ni kwa kuwa umepungukiwa kwa maneno rahisi. Unapoendelea kukopa mwaka hadi mwaka ina maana mikopo ya zamani haizalishi kiasi cha kutosha kukusaidia wewe kupunguza kukopa au kuacha kabisa kukopa! Na hii ina sababu. Kafulila ni muongo.
 
Wapumbavu tu mnawaza kukopa harafu mikopo yenyewe inaishia mifukoni mwa watu.Mm mtu akinishauri nikope hua namuona ni shetani kabisa maana km nguvu ya kutafuta ipo kwa nn tukope kwani sisi ndio kizazi pekee tz tutafanya tunapoweza kwa ufanisi na tutakapo shindwa watoto wetu watafanya hata Rome haikujengwa siku moja.Lakini tukawasikiliza wapuuzi wachumi uchwara walio shindwa kujiajiri kutwa kutafuta teuzi na ushauri wa kindenzi hatutafika na tutawaachia watoto nchi ikiwa ina maden makubwwaa na maliasili zetu tumeshamaliza kuziuza kwa wakopeshaji.
 
Kumbe shida sio kukopa ila ni matumizi
 
Naunga mkono hoja yako, kipande cha barabara kama hicho tujenge wenyewe kwa pesa zetu .
Mikopo kibao bado barabara tupeleke kwa watu binafsi!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…