Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

Mwambieni kafulila hizo PR team anazozilipa kumuanzishia uzi kila siku hazina faida. Anachokifanya hakionekani zaidi ya kila siku kuimbiwa mapambio humu.
 
Mwambieni kafulila hizo PR team anazozilipa kumuanzishia uzi kila siku hazina faida. Anachokifanya hakionekani zaidi ya kila siku kuimbiwa mapambio humu.
Nitamwambia ila wenye akili wanauona msaada wake kwa Taifa,

Halafu Sina kama Kafulila ana team ila anayoyasema ndio yanawahnganisha watu pamoja.
 
Atafaa sana akipewa ukurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ikulu.kwa sababu anafahamu vyema Dunia inakwendaje na ni mtu anayesoma na kujisomea sana na hivyo kuwa na uelewa wa masuala mbalimbali.jambo ambalo ni la muhimu sana kwa mtu anayekuwa kwenye nafasi ya ukurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ikulu.
Naamini wengi watafurahi sana na jina la Rais litapaa zaidi
 
Unaiwaza Sana CHADEMA. Kaleta mada mwana CCM , ila kwa unafiki wako unaitaja CHADEMA. Tatizo mnawaza Sana CHADEMA ndio maana mnateua marehemu kwenye teuzi.
Shida ya hawa CHADEMA ukiwemo wewe hamfahamu mambo mengi yanayoendelea katika Dunia hii,
Hadi Marekani na Uchumi ule bado wanakopa tena kwa sana
 
Huyu ndio kijana pekee aliyewahi kukataa TZS 3bl miaka ya 2014,

Kwanini aliikataa pesa,
Ni mtu anaipenda nchi yake ,

Sasa kwanini Leo aitumnukize kwenye madeni yasiyo na faida?
Kukataa 3bl Hilo pekee halitoshi kupima uaminifu wake
 
Marekani hata ikichukua Mikopo inaonekana inapoingia sio hawa CCM inayochukua Mikopo inayoishia kupigwa Rejea SGR na TanRoads.
 
Samia awe makini na PPP za Kafulia, naona zinamgeuza kuwa dalali, kwa hiyo muda mwingi mali za nchi anazipigia debe "kariakoo mia kariako mia......". (Sehemu ya kariakoo chagua raslimali ya taifa, sehemu ya mia, jaza fedha ambayo kafulia anaitia hao pipi (PPP)wake)
🤣🤣🤣Eti pipi wake
 
Marekani hata ikichukua Mikopo inaonekana inapoingia sio hawa CCM inayochukua Mikopo inayoishia kupigwa Rejea SGR na TanRoads.
Nadhani hoja ibaki jinsi ya kuitumia Mikopo ila sio kukopa ni mbaya,
Hata Mimi natamani tukope hasa huko World Bank
 
Atafaa sana akipewa ukurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ikulu.kwa sababu anafahamu vyema Dunia inakwendaje na ni mtu anayesoma na kujisomea sana na hivyo kuwa na uelewa wa masuala mbalimbali.jambo ambalo ni la muhimu sana kwa mtu anayekuwa kwenye nafasi ya ukurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ikulu.
Lucas Mwashambwa hata wewe unafaa sana tu👏🏿👏🏿
 
Mimi nashauri kabla ya kukopa uganyika mjadala kama huu,
Tuambiwe tunakopa kiasi gani ?
Tunakopa kwaajili ya nini?
Masharti ya huo mkopo yako?
 
Tayari Kilio kimeingia KKOO baada ya ujenzi wa Ubungo
 
Back
Top Bottom