Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

Na anayenufaika ni mkopeshaji zaidi ya mkopaji....; Na unakopa ili ufanye nini ?

Yaani sababu wengine wanakopa na wewe uende kukopa ili ufanye vitu ambavyo ungeweza kufanya bila mkopo ? (kunjenga madarasa, vyoo n.k) By the way kama kila kitu tunawapa watu wafanye sisi tunakopa ili iweje ? Kwanini hicho tunachokopea ili tukifanye tusiwape hao watu wafanye ?

Hii awamu sio tu kwamba ina wapuuzi bali ina wapuuzi wanaodhani kila mtu ni mpuuzi hence insulting our intelliegence....
Mkuu unamawazo kama yangu, yaani eti watu wote wanakopa na wewe unakopa bila kujua unakopa kwaajili ya nini
 
Anayekataa mikopo atakuwa na matatizo, kwa Hali ilivo bila mikopo mambo hayawezi kwenda. Hii ni kwa mtu mmoja mmoja au kwa nchi. So mikopo ni lazima,

Hata Kenya wametupita kiuchumi kwa sababu ya mikopo.

Issue kubwa ni namna mikopo inavotunika, wote tunajua 10% plus rushwa kubwa kubwa zinavoinaliza serikali, miradi mingi serikali haiishi kwa wakati na haina value for money.

Hii mikopo angekuwa anaichukua jiwe kipindi nidhaku ya kazi na uwajibikaji kwenye miradi uko juu tungesonga Sana.

Kwa sasa tuongeze uwajibikaji Tu. Matumizi mazuri ya mikopo yatatutoa saaana.

Ninefurahi nimeona bongo tunaanza kutoa hati fungani kwenye miradi ya maendeleo, kama Ile greenbone ya tanga. Hii ndio mikopo imeitoa china. China ina demi kubwa la ndani sio kukopa nje.
 
Ngoja tuone
 
View attachment 3011907
===
David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya,

Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa.

Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona zikimea zinajengwa kwa mikopo kwa wastani wa 97%

David anasema, wakati uchumi wa dunia umefikia US$ 105trilion, Deni lote la dunia ( serikali & private ) ni US$315trilion

Kwa lugha nyepesi,deni la serikali zote duniani limefikia US$ 97trilion sawa na 97% ya uchumi wa dunia,

Kafulila anasema deni lote la dunia kwa ujumla ni US$ 315 Trilioni zaidi ya 300% ya GDP ya dunia.

Vietnam ni nchi ya mfano duniani kwa muujiza wa kukuza uchumi ndani ya muda mfupi,

Mwaka 1990, uchumi wa Vietnam ulikuwa US$ 6.4bilion, mbele kidogo ya Tanzania iliyokuwa na US$ 4.5bilioni na nyuma ya Kenya iliyokuwa na US$ 8.4bilioni,

Lakini Leo miaka 30 baadae, uchumi wa Vietnam ni US$ 400bilion, karibu mara nne ya Kenya na mara tano ya Tanzania.

Hata hivyo, Mwaka 2007, wakati uchumi wa Vietnam ukiwa US$77bilion, sawa na Tanzania leo,

Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania.

Kukopa kujenga uchumi ndio njia na ndio Afya yenyewe ya nchi anasema David Kafulila.
View attachment 3011554
Viongozi wengi wa Serikali ni kama wamekuwa waoga kuzungumzia inshu za Mikopo,
Nikwamara ya kwanza Kafulila anajitokeza kimaso maso kutetea ukopaji wa Serikali ,
Hakika hiki ni kiwango kikubwa sana sana Cha Uzalendo ambocho naamini kinainufaisha nchi.

Nimefurahisha na mijadala ya Kafulila kuhusu kukopa na deni la Taifa.
Mnyonge mnyongeni ila Kafulila ni asset kwa Taifa
 
Huyu Kafulila ndo amebaki mwana propaganda mashuhuri na mficha madhaifu ya serikali kuliko hata viongozi wa chama na serikali.

Huyu anawafaa CCM mkimpeleka ikulu awe msemaji wa serikali
Naunga mkono hoja yako IKULU inataka kijana wa ku-influence mitazamo ya Wananchi juu ya Rais
 
  • Thanks
Reactions: K11
Hivi bado kuna mtu mwenye akili timamu anamfatilia huyu jamaa.
 
Twendeni na mama 2025
 
Attachments

  • IMG-20240608-WA0053.jpg
    IMG-20240608-WA0053.jpg
    53 KB · Views: 4
Kafulila na wengine wanaotaka kujifunza kuhusu mtego wa misaada na mikopo ni vizuri wasome "Confession of a hit man"
 
Madeni makubwa ya kujenga uchumi na miradi Kuna shida gani?
Issue siyo kukopa, issue ni uwezo wa kulipa hayo madeni.
Wakati wa mwinyi tulikopa sana, tukashindwa kulipa, mpaka tukawa hatukopesheki tena i.e tuka-default!
Btw, huo uchumi unaojengwa ndio uko wapi? Vietnam wa kwao unaonekana, sisi wa kwetu uko wapi?
 
View attachment 3011907
===
David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya,

Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa.

Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona zikimea zinajengwa kwa mikopo kwa wastani wa 97%

David anasema, wakati uchumi wa dunia umefikia US$ 105trilion, Deni lote la dunia ( serikali & private ) ni US$315trilion

Kwa lugha nyepesi,deni la serikali zote duniani limefikia US$ 97trilion sawa na 97% ya uchumi wa dunia,

Kafulila anasema deni lote la dunia kwa ujumla ni US$ 315 Trilioni zaidi ya 300% ya GDP ya dunia.

Vietnam ni nchi ya mfano duniani kwa muujiza wa kukuza uchumi ndani ya muda mfupi,

Mwaka 1990, uchumi wa Vietnam ulikuwa US$ 6.4bilion, mbele kidogo ya Tanzania iliyokuwa na US$ 4.5bilioni na nyuma ya Kenya iliyokuwa na US$ 8.4bilioni,

Lakini Leo miaka 30 baadae, uchumi wa Vietnam ni US$ 400bilion, karibu mara nne ya Kenya na mara tano ya Tanzania.

Hata hivyo, Mwaka 2007, wakati uchumi wa Vietnam ukiwa US$77bilion, sawa na Tanzania leo,

Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania.

Kukopa kujenga uchumi ndio njia na ndio Afya yenyewe ya nchi anasema David Kafulila.
View attachment 3011554
Kwanza anatakiwa kuelewa sio kila suti itamfaa kila mtu.
Hivyo dhana ya uchumi wa Dunia ni USD t105 na Kati ya hizo 97% ni Deni , hivyo ndio Mpango mzima hauwezi kuwa Sawa.
Mfano US anekuwa akitoa mikopo na kutumia hiyo mikopo kufadhili uchumi wake Kwa kukuuzia bidhaa zao au kujiwekea Masharti ambayo Mwisho wa siku unakuza zaidi uchumi wao.
Hivyo Kwa muktada huo huwezi sema mkopo ndio Mpango mzima.
Pili mikopo inachukuliwa Kwa shughuli Gani , kusafirisha wasanii na masurufu ya Offisi au Kwa ajili ya uzalishaji.
Kama ni kusafirisha wasanii na matumizi ya Offisi basi mikopo sio tiba ya matatizo yetu.
Na kama ni Kwa uzalishaji, basi Leo hii tungeanza kuona mabadiliko katika uchumi wetu. Lakini kila kitu kimekuwa hadithi, ya SGR, hadithi ya umeme, hadithi za barabara , hadithi utalii, huku tunakopa Kwa ajili ya utalii huku tuna uza Kwa ajili ya utalii.
 
Shida sio kukopa shida ni wizi, ujambazi, uhujumu uchumi, urafi na ufisadi uliojaa kwenye mfumo mzima wa serikali, hizo pesa zinaletwa kuingizwa kwenye mfuko uliotoboka lakini pia tunacho hoji kwa nini kila mradi wanaofanya serikali hii pesa kama sio za mkopo ni msaada makusanyo ya Kodi wanayo sema yamevunja rekodi yanafanya kazi gani 🤔kwamba zinaishia kwenye mishahara na kughalamia maisha yao ya anasa tuu🤔
 
Back
Top Bottom