Small letter
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 280
- 177
Mkuu unamawazo kama yangu, yaani eti watu wote wanakopa na wewe unakopa bila kujua unakopa kwaajili ya niniNa anayenufaika ni mkopeshaji zaidi ya mkopaji....; Na unakopa ili ufanye nini ?
Yaani sababu wengine wanakopa na wewe uende kukopa ili ufanye vitu ambavyo ungeweza kufanya bila mkopo ? (kunjenga madarasa, vyoo n.k) By the way kama kila kitu tunawapa watu wafanye sisi tunakopa ili iweje ? Kwanini hicho tunachokopea ili tukifanye tusiwape hao watu wafanye ?
Hii awamu sio tu kwamba ina wapuuzi bali ina wapuuzi wanaodhani kila mtu ni mpuuzi hence insulting our intelliegence....
Hakuna wa kujibu kule labda aje ZittoNdio maana nasema lazima ajibiwe kitaalamu naona BAVICHA nao wako kimya sijui ndio wameelewa!!
Ngoja tuoneAnayekataa mikopo atakuwa na matatizo, kwa Hali ilivo bila mikopo mambo hayawezi kwenda. Hii ni kwa mtu mmoja mmoja au kwa nchi. So mikopo ni lazima,
Hata Kenya wametupita kiuchumi kwa sababu ya mikopo.
Issue kubwa ni namna mikopo inavotunika, wote tunajua 10% plus rushwa kubwa kubwa zinavoinaliza serikali, miradi mingi serikali haiishi kwa wakati na haina value for money.
Hii mikopo angekuwa anaichukua jiwe kipindi nidhaku ya kazi na uwajibikaji kwenye miradi uko juu tungesonga Sana.
Kwa sasa tuongeze uwajibikaji Tu. Matumizi mazuri ya mikopo yatatutoa saaana.
Ninefurahi nimeona bongo tunaanza kutoa hati fungani kwenye miradi ya maendeleo, kama Ile greenbone ya tanga. Hii ndio mikopo imeitoa china. China ina demi kubwa la ndani sio kukopa nje.
Viongozi wengi wa Serikali ni kama wamekuwa waoga kuzungumzia inshu za Mikopo,View attachment 3011907
===
David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya,
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa.
Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona zikimea zinajengwa kwa mikopo kwa wastani wa 97%
David anasema, wakati uchumi wa dunia umefikia US$ 105trilion, Deni lote la dunia ( serikali & private ) ni US$315trilion
Kwa lugha nyepesi,deni la serikali zote duniani limefikia US$ 97trilion sawa na 97% ya uchumi wa dunia,
Kafulila anasema deni lote la dunia kwa ujumla ni US$ 315 Trilioni zaidi ya 300% ya GDP ya dunia.
Vietnam ni nchi ya mfano duniani kwa muujiza wa kukuza uchumi ndani ya muda mfupi,
Mwaka 1990, uchumi wa Vietnam ulikuwa US$ 6.4bilion, mbele kidogo ya Tanzania iliyokuwa na US$ 4.5bilioni na nyuma ya Kenya iliyokuwa na US$ 8.4bilioni,
Lakini Leo miaka 30 baadae, uchumi wa Vietnam ni US$ 400bilion, karibu mara nne ya Kenya na mara tano ya Tanzania.
Hata hivyo, Mwaka 2007, wakati uchumi wa Vietnam ukiwa US$77bilion, sawa na Tanzania leo,
Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania.
Kukopa kujenga uchumi ndio njia na ndio Afya yenyewe ya nchi anasema David Kafulila.
View attachment 3011554
Naunga mkono hoja yako IKULU inataka kijana wa ku-influence mitazamo ya Wananchi juu ya RaisHuyu Kafulila ndo amebaki mwana propaganda mashuhuri na mficha madhaifu ya serikali kuliko hata viongozi wa chama na serikali.
Huyu anawafaa CCM mkimpeleka ikulu awe msemaji wa serikali
Tatizo jingine ni wanasiasa hovyo kama yeye kutwa kulilia nafasi za uongozi ila hakuna wanalolifanya la maana.Kafulila ni chizi haswa, tatizo la Tanzania siyo fedha tatizo la Tanzania ni matumizi makubwa na ya hovyo ya serikali
Hawezi kufanya chochote amezoea utapeli tapeliTatizo jingine ni wanasiasa hovyo kama yeye kutwa kulilia nafasi za uongozi ila hakuna wanalolifanya la maana.
Leo nakuunga mkono kwa mara ya kwanza ila Kila kitu Kiko sawa so relax nchi iko sawaKafulila ni chizi haswa, tatizo la Tanzania siyo fedha tatizo la Tanzania ni matumizi makubwa na ya hovyo ya serikali
Mwambie weweMwambieni kijana aache upumbavu.
Issue siyo kukopa, issue ni uwezo wa kulipa hayo madeni.Madeni makubwa ya kujenga uchumi na miradi Kuna shida gani?
Kwanza anatakiwa kuelewa sio kila suti itamfaa kila mtu.View attachment 3011907
===
David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya,
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa.
Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona zikimea zinajengwa kwa mikopo kwa wastani wa 97%
David anasema, wakati uchumi wa dunia umefikia US$ 105trilion, Deni lote la dunia ( serikali & private ) ni US$315trilion
Kwa lugha nyepesi,deni la serikali zote duniani limefikia US$ 97trilion sawa na 97% ya uchumi wa dunia,
Kafulila anasema deni lote la dunia kwa ujumla ni US$ 315 Trilioni zaidi ya 300% ya GDP ya dunia.
Vietnam ni nchi ya mfano duniani kwa muujiza wa kukuza uchumi ndani ya muda mfupi,
Mwaka 1990, uchumi wa Vietnam ulikuwa US$ 6.4bilion, mbele kidogo ya Tanzania iliyokuwa na US$ 4.5bilioni na nyuma ya Kenya iliyokuwa na US$ 8.4bilioni,
Lakini Leo miaka 30 baadae, uchumi wa Vietnam ni US$ 400bilion, karibu mara nne ya Kenya na mara tano ya Tanzania.
Hata hivyo, Mwaka 2007, wakati uchumi wa Vietnam ukiwa US$77bilion, sawa na Tanzania leo,
Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania.
Kukopa kujenga uchumi ndio njia na ndio Afya yenyewe ya nchi anasema David Kafulila.
View attachment 3011554
KaribuLeo nakuunga mkono kwa mara ya kwanza ila Kila kitu Kiko sawa so relax nchi iko sawa