Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

Just trust the process, Matumizi pia ni mema tu
 
Muhimu vionekane vinavyojengwa na viwe kwenye ubora unaolingana na pesa zilizokopwa 🙄

That’s the point ,
 
Kumbe Tanzania bado tuko vizuri mno,

Kama wenzetu wanekopa mpka 97% sisi tuna 40% huoni kama ni Rais anapambana zaidi?
 
Sawa Kafulila ni asset ila ni kama anatuuza na yeye vile
 
Nikiri kabisa kwa mara ys kwanza nimeanza kuelewa swala la mikopo kutoka kwa mwana CCM na kwa mara ya kwanza mwana CCM au kiongozi amejitokeza kujenga hoja kuhusu mikopo na anaweza kukushawishi na anajibu baadhi ya hoja…..

Kwakweli tofauti ya Kafulila na wengine ni kujiamini na kuwa na uwezo wa kujenga hoja na kutoogopa maswali….Kafulila naona ameanza kuikoa serikali…pengine angekuwa pale ikulu ya mawasiliano ingefaa sana na watanzania tungefaidi sana madini …

Huyu jamaa anajua kujenga hoja na ndiye pengine watu wanaweza msikiliza kwa sasa!
 
Unaomba au unakopa dollar kuchimba choo? una akili wewe, si bora uende CRDB nao wapate biashara
Ndio akili zipo Kwa sababu kama choo tuu huna unakunya hovyo hovyo mwisho wa siku Magonjwa ya kiripuko unanunua maelfu ya dawa Kwa Dola ,huoni ni lazima kuomba na kukopa kujenga choo?

CRDB hawana wangekuwa nazo wangezikopesha Kwa Serikali
 
Kumbe mli default? Sovereign rating ya Tanzania ni B+ na Kila mwaka tunalipa deni zaidi ya Trilioni 10,tunakopa pungufu ya hiyo.

Watakuja ku default wengine ambao Wana mentality za Kijamaa sio Samia.Kuna Rais anseweza mshinda Samia kutafuta hela Kwa njia ya biashara na mikopo laini?
 
Yani ingekuwa BBC wanachambua uchumi kwa sentensi moja tu kama huyo Kafulila, mbona ingekuwa balaa
 
Yes man anajiamini sana sio rahisi kujitoa muhanga kiivi
 
Lobbying !! 😳
 
Do not be fooled with West. Marekani Ana ukwasi mkubwa sana wanacheza na ability zetu. Hii mikopo tunauza Taifa. Vizazi vijavyo kazi ipo
 
Mkuu si kuna mikataba tukiwa makini nchi itauzwaje?
Do not be fooled with West. Marekani Ana ukwasi mkubwa sana wanacheza na ability zetu. Hii mikopo tunauza Taifa. Vizazi vijavyo kazi ipo
 
Sisi wananchi concern kubwa sio kukopa na wala hatupingi nchi kukopa analijua holo vyema kabisa issue yetu ni matumizi ya haya mamikopo miradi haimaliziki madeni yanaongezeka,miradi inakua chini ya viwango inakosa uimara wakukaa muda mrefu mfano mzuri barabara zetu ubora mdogo ndani ya muda mfupi mashimo lakini tunaendelea kulipa mikopo,SGR ishakopewa lakini mradi haukamiliki upo nje ya muda waliosema utakua tayari,mwendokasi ni kero tupu ila tunalipa deni lake,sasa ndio mana kelele zinakua nyingi matumizi mabaya yamikopo kwa kigezo cha maendeleo,bandari tulikopa kununua vifaa na tushampa mwekezaji,mikopo ya uviko kwa madarasa lakini bado kuna sehemu watoto wetu wanakaa chini kwakukosa madawati,sasa lazima tuweke utaratibu wa uwazi katika kukopa tujue unaposima mkopo ni kwa ajili ya barabara,elimu,afya nk tujue ni barabara zipi zitajengwa zina urefu gani na kwa gharama zipi,kama ninshule pia ni shule zipi kwa majina,na hivyo hivyo kwenye afya na kwengineko kuweka uwazi ili kesho yasipofanyika na tumekopa tuwawajibishe wahusika.
 
Shida sio kukopa.

Shida unakopa kwa masharti gani, kwasababu gani na controlling ya hizo hela ulizokopa.
 
Mwambieni Kijana.

Hao wengine wanaokopa wanajua nini wanachofanya sio kukopakopa tu na kuletea watu hela za kuhonga malaya na kustawisha maisha yao.
 
Umesomeka vizuri najua mama au watu wake lazima wapitie humu.

#MAMA MITANO TENA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…