The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Uendeshaji wa Nchi haulinganishwi na individuals so usipotoshe.Kafulila achana na mawazo ya kukopa kopa ndiyo uonekane baba bora kwa Familia yako!!! Siku zinakuja mdeni wako atataka hela zake wakati uko dhofuli Hali, ndiyo lugha zote utazisahau!!! π
Ndio maana huwa anawapuuza nyie mburulaAnahangaikia uteuzi alikuwa hakujiandaa kukaa kijiweni, akajiajiri
Kuliko wewe jizi, kuna siku utalipaNdio maana huwa anawapuuza nyie mburula
Kumbe Japan 40% ya bajeti yake ni deni Daaah,
Asante Sana Mkuu Kafulila kutufumbua macho,
Debt Relief for 54 Countries a βSmall Pill to Swallowβ: UNDP Report
The 54 developing countries in urgent need of debt relief represent just over 3% of the global economy, 18% of the population, and more than 50% of people living in extreme poverty. The paper argues that focus must shift from debt rescheduling to comprehensive restructuring that involves write-offssdg.iisd.org
Ndio utajiri wenyewe huo, tuache maneno maneno
Machadema yako ICU
Kafulila ni mtaalam lazima uelewe na amezungumza kwa takwimu vizuri Sana Wewe unakwama Wapi hapo?
Huyu Bwana ni hazina kwa TaifaAnaakili kama za kwangu nampongeza kwa uoni wake mikopo ya kimaendeleo kwa taifa sio mikopo ya kuuzia vitumbua hii ni mikopo endekevu ya kuendeleza taifa.
Sipingi kukopa, nachozungumzia ni kwa yeye kama yeye amekuwa kama anasema "mmenisahau". He is trying to draw the attention of rulers if not leaders!!Uendeshaji wa Nchi haulinganishwi na individuals so usipotoshe.
Kwa taarifa yako kukopa Ni njia mojawapo ya kuregulate Uchumi hasa kudhibiti mfumuko wa Bei so kiuchumi kukopa hakuepukiki maana Ni tool ya Uchumi.
Unaongea kwa jazba sanaKuna takwimu na reality. Yule anadai tukope Sana maana ndio kauli mbiu ya rais na anaogopa kwenda tofauti na rais hata pata teuzi.
Aliyeanzisha uchawa kwenye siasa ni mshenzi.
Hujasema tuingie Ila ameonesha kuwa sio kweli nchi yetu imekopa sana,
Anaakili kama za kwangu nampongeza kwa uoni wake mikopo ya kimaendeleo kwa taifa sio mikopo ya kuuzia vitumbua hii ni mikopo endekevu ya kuendeleza taifa.
Ngoja nimuulize ndugai.Ipigwe na Nani? Inataka πππ
Naunga mkono hoja,tupoke kwa ajili ya kujenga Uchumi.