Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

Kafulila achana na mawazo ya kukopa kopa ndiyo uonekane baba bora kwa Familia yako!!! Siku zinakuja mdeni wako atataka hela zake wakati uko dhofuli Hali, ndiyo lugha zote utazisahau!!! 😭
Uendeshaji wa Nchi haulinganishwi na individuals so usipotoshe.

Kwa taarifa yako kukopa Ni njia mojawapo ya kuregulate Uchumi hasa kudhibiti mfumuko wa Bei so kiuchumi kukopa hakuepukiki maana Ni tool ya Uchumi.
 
Wazungu wawaweke ili muwakimbie ila mawazo ya walala hoi bana wanawaweka ndo wanaowakopesha wanataka wawakamue mpaka muishe mtapata aibu tu muda sii mrefu
 
Kafulila ni sawa na mwanafunzi anayeshika namba kumi kati ya kumi na tatu akajiona amefaulu.
Hivi huyu naye amewahi kuwa mbunge kweli? Aliupataje? Na amewahi kuwa mkuu wa mkoa, duh!
 
Kafulila ni mtaalam lazima uelewe na amezungumza kwa takwimu vizuri Sana Wewe unakwama Wapi hapo?

Kuna takwimu na reality. Yule anadai tukope Sana maana ndio kauli mbiu ya rais na anaogopa kwenda tofauti na rais hata pata teuzi.
 
Uendeshaji wa Nchi haulinganishwi na individuals so usipotoshe.

Kwa taarifa yako kukopa Ni njia mojawapo ya kuregulate Uchumi hasa kudhibiti mfumuko wa Bei so kiuchumi kukopa hakuepukiki maana Ni tool ya Uchumi.
Sipingi kukopa, nachozungumzia ni kwa yeye kama yeye amekuwa kama anasema "mmenisahau". He is trying to draw the attention of rulers if not leaders!!
 
Mishahara inategemea mikopo halafu bado mtu anasemaa tukope tu.
 
Hujasema tuingie Ila ameonesha kuwa sio kweli nchi yetu imekopa sana,

Duh! Kumbe kukopa Trilioni 91 sio pesa nyingi. Baadala ya kufikiria kupunguza Deni tunawaza kukopa zaidi.
 
Anaakili kama za kwangu nampongeza kwa uoni wake mikopo ya kimaendeleo kwa taifa sio mikopo ya kuuzia vitumbua hii ni mikopo endekevu ya kuendeleza taifa.

Baadala tufikirie kupunguza Deni tunawaza kukopa zaidi. Tumefikia hatua ya kutegemea mikopo kulipa madeni.
 
Back
Top Bottom