The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Uendeshaji wa Nchi haulinganishwi na individuals so usipotoshe.Kafulila achana na mawazo ya kukopa kopa ndiyo uonekane baba bora kwa Familia yako!!! Siku zinakuja mdeni wako atataka hela zake wakati uko dhofuli Hali, ndiyo lugha zote utazisahau!!! 😭
Kwa taarifa yako kukopa Ni njia mojawapo ya kuregulate Uchumi hasa kudhibiti mfumuko wa Bei so kiuchumi kukopa hakuepukiki maana Ni tool ya Uchumi.