King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wewe unaumia nini, Soma alichoandika acha kubwabwaja
Analeta ngonjera wakati nchi inataka kupigwa mnada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaumia nini, Soma alichoandika acha kubwabwaja
Utajiri wa kukopa kopa au sio?Ndio utajiri wenyewe huo, tuache maneno maneno
😂😂😂 Ila hii nchi inawatu wa ajabu sana aiseAnaleta ngonjera wakati nchi inataka kupigwa mnada.
Umesoma andiko nzima Au Ndio umeishia hapo kwenye kufunda?hivi kuropoka ni kufunda?
![]()
Debt Relief for 54 Countries a “Small Pill to Swallow”: UNDP Report
The 54 developing countries in urgent need of debt relief represent just over 3% of the global economy, 18% of the population, and more than 50% of people living in extreme poverty. The paper argues that focus must shift from debt rescheduling to comprehensive restructuring that involves write-offssdg.iisd.org
Machadema yako ICUUmesoma andiko nzima Au Ndio umeishia hapo kwenye kufunda?
Hujaelewa nini hapo?Kwahiyo anataka tukope sana ili na sisi tulemewe na madeni au?
hahahaha daaah! influencers mnakazi sanaKumbe Japan 40% ya bajeti yake ni deni Daaah,
Asante Sana Mkuu Kafulila kutufumbua macho,
Kafulila ni mtaalam lazima uelewe na amezungumza kwa takwimu vizuri Sana Wewe unakwama Wapi hapo?Tunakoelekea ni kubaya sana endapo huyu mama ataendelea kuwasikiliza watu kama hawa.
Tunakopa hizo hela tunafanyia nini? Je ni kweli rasilimali zetu hazitutoshelezi mpaka tukope nje?Kafulila ni mtaalam lazima uelewe na amezungumza kwa takwimu vizuri Sana Wewe unakwama Wapi hapo?
Wanamambo ya kiwaki.....Kigoma mko vizuri sana kwenye UCHAWA
Kwahiyo mpango ndio kuifanya nchi kufikia hapo ama namna gani?Kumbe Japan 40% ya bajeti yake ni deni Daaah,
Asante Sana Mkuu Kafulila kutufumbua macho,
HAPANA nadhani amejarinu kutoa Mfano kwa nchi Matajiri duniani namna wanaendesha nchi zaoKwahiyo mpango ndio kuifanya nchi kufikia hapo ama namna gani?