Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

Kafulila ni mtaalam lazima uelewe na amezungumza kwa takwimu vizuri Sana Wewe unakwama Wapi hapo?
Tunakopa hizo hela tunafanyia nini? Je ni kweli rasilimali zetu hazitutoshelezi mpaka tukope nje?
 
Back
Top Bottom