TaiPei
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 572
- 608
Huoni kweli yanayofanyika nchini?Shida sio kukopa shida zinaishia wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni kweli yanayofanyika nchini?Shida sio kukopa shida zinaishia wapi
Hakika mkuu wangu, ile kuwa mkimbizi inakuongezea ujasiri wa kutokuwa na machungu kabisa.Kigoma mko vizuri sana kwenye UCHAWA
![]()
Debt Relief for 54 Countries a “Small Pill to Swallow”: UNDP Report
The 54 developing countries in urgent need of debt relief represent just over 3% of the global economy, 18% of the population, and more than 50% of people living in extreme poverty. The paper argues that focus must shift from debt rescheduling to comprehensive restructuring that involves write-offssdg.iisd.org
makasiriko ya nini?Umesoma andiko nzima Au Ndio umeishia hapo kwenye kufunda?
Takwimu hupingwa kwa Takwimu,Leta Nawe Takwimu zako za kitafiti kumpinga ndugu kafulilaHuyu atakuwa anaumwa ugonjwa wa akili ama anajitoa ufahamu kwa sababu anazozijua mwenyewe. Kudaiwa ni utumwa sio sifa
Hayo mamikopo huwa yanasamehewa tu fasta so tukope tu zaidi,
Nani ni mkimbizi?Hakika mkuu wangu, ile kuwa mkimbizi inakuongezea ujasiri wa kutokuwa na machungu kabisa.
Ina tegemea una daiwa kwa sababu gani/ipi ambayo ilikusukuma ukope na kupelekea kudaiwa...Huyu atakuwa anaumwa ugonjwa wa akili ama anajitoa ufahamu kwa sababu anazozijua mwenyewe. Kudaiwa ni utumwa sio sifa
Sio japani pekee ata USA ana madeni, piq azimio la umoja wa mataifa ni kukopesha nchi zinqzo endelea kujikwamua kiuchumi, na kutenga asilimia kadhaaa kama misaada piaKumbe Japan 40% ya bajeti yake ni deni Daaah,
Asante Sana Mkuu Kafulila kutufumbua macho,
Sasa ni heri tuuelekeze mjadala huko Ila kukopa is "MUST "Kukopa sio tatizo kama udhibiti wa hizo pesa upo 100% kwamba pesa zote zitaingia kwenye miradi iliyo kusudiwa ! Lakini shida inakuja pale tunaposikia huku mara kule pesa zimepigwa!! Mara mradi umejengwa chini ya kiwango and so on and so forth hapo ndio shida ilipo!! Maana hata kwa mtu binafsi kama unajijua kwamba huna nidhamu katika matumizi ya pesa ni bora usiende kukopa Benki maana unaweza ukasababisha Nyumba uliyoiweka dhamana ikashikwa na Benki !! Je nidhamu ya matumizi ya pesa tunayo ??!!
Kakupa Mfano Utulize mshonoAnamaanisha tukope hadi na sisi tulemewe na maden.
Enzi za Nyerere akiamini kwenye siasa za ujamaa na kujitegemea, alikuwa anasikiliza ushauri wa anachokipenda, matokeo yake tuliishia kuvaa viraka na yeye ikabidi aachie urais. Hawa akina Kafulila wanapita huko huko anakotaka kusikia mama Samia ili wapate vyeo. Iko siku tutakimbiana.Kafulila ni mtaalam lazima uelewe na amezungumza kwa takwimu vizuri Sana Wewe unakwama Wapi hapo?
Amini mkuu, Nchi hii Iko katika uelekeo sahihi SanaEnzi za Nyerere akiamini kwenye siasa za ujamaa na kujitegemea, alikuwa anasikiliza ushauri wa anachokipenda, matokeo yake tuliishia kuvaa viraka na yeye ikabidi aachie urais. Hawa akina Kafulila wanapita huko huko anakotaka kusikia mama Samia ili wapate vyeo. Iko siku tutakimbiana.
Kafulila huyu huyu?Kakupa Mfano Utulize mshono
Amini mkuu, Nchi hii Iko katika uelekeo sahihi Sana