Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

Kukopa sio tatizo kama udhibiti wa hizo pesa upo 100% kwamba pesa zote zitaingia kwenye miradi iliyo kusudiwa ! Lakini shida inakuja pale tunaposikia huku mara kule pesa zimepigwa!! Mara mradi umejengwa chini ya kiwango and so on and so forth hapo ndio shida ilipo!! Maana hata kwa mtu binafsi kama unajijua kwamba huna nidhamu katika matumizi ya pesa ni bora usiende kukopa Benki maana unaweza ukasababisha Nyumba uliyoiweka dhamana ikashikwa na Benki !! Je nidhamu ya matumizi ya pesa tunayo ??!!
 
Huyu atakuwa anaumwa ugonjwa wa akili ama anajitoa ufahamu kwa sababu anazozijua mwenyewe. Kudaiwa ni utumwa sio sifa
Ina tegemea una daiwa kwa sababu gani/ipi ambayo ilikusukuma ukope na kupelekea kudaiwa...

Kuna madeni yanayo kulazimu au hauna jinsi una yakiwa kukopa ili kutatua tatizo au kufikia malengo uliyo jiwekea

Na kuna madeni ambayo hayana maana, una kopa na kwenda kunywa bia, kwenda picnic...

Mwisho kila mtu ana kopa kwa vipaumbele vyake... una weza ukaona haifai kukopa kunywa bia lakini mwingine bia kwake ni kitu cha thamani, hivyo asipo weza kupata bia kuna mambo hayaendi ndio maana atakopa anywe...
 
Kumbe Japan 40% ya bajeti yake ni deni Daaah,

Asante Sana Mkuu Kafulila kutufumbua macho,
Sio japani pekee ata USA ana madeni, piq azimio la umoja wa mataifa ni kukopesha nchi zinqzo endelea kujikwamua kiuchumi, na kutenga asilimia kadhaaa kama misaada pia

Ndio maana una ona nchi nyingi zina pata misaada, ni kwa sababu ya maazimio yapamoja huko UN kama wanachama
 
Kukopa sio tatizo kama udhibiti wa hizo pesa upo 100% kwamba pesa zote zitaingia kwenye miradi iliyo kusudiwa ! Lakini shida inakuja pale tunaposikia huku mara kule pesa zimepigwa!! Mara mradi umejengwa chini ya kiwango and so on and so forth hapo ndio shida ilipo!! Maana hata kwa mtu binafsi kama unajijua kwamba huna nidhamu katika matumizi ya pesa ni bora usiende kukopa Benki maana unaweza ukasababisha Nyumba uliyoiweka dhamana ikashikwa na Benki !! Je nidhamu ya matumizi ya pesa tunayo ??!!
Sasa ni heri tuuelekeze mjadala huko Ila kukopa is "MUST "
 
Kafulila ni mtaalam lazima uelewe na amezungumza kwa takwimu vizuri Sana Wewe unakwama Wapi hapo?
Enzi za Nyerere akiamini kwenye siasa za ujamaa na kujitegemea, alikuwa anasikiliza ushauri wa anachokipenda, matokeo yake tuliishia kuvaa viraka na yeye ikabidi aachie urais. Hawa akina Kafulila wanapita huko huko anakotaka kusikia mama Samia ili wapate vyeo. Iko siku tutakimbiana.
 
Amini mkuu, Nchi hii Iko katika uelekeo sahihi Sana
 
Back
Top Bottom