Kafulila: Utulivu wa kisiasa wa Rais Samia umekuza Uwekezaji mauzo ya nje yameongezeka kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35Trilion

TaiPei

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
572
Reaction score
608
Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa,

Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi ambayo watu wana-tension, Watu wanatafutana haiwezi kupata wawekezaji serious na haya ni matokeo ya 4R za Rais Samia.

Mhe David Kafulila amesema kuwa Uwekezaji Tanzania umekua mfano mauzo ya nje yamekua kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35 Trilioni ndani ya miaka mitatu tu ya Rais Samia.

Vilevile Mhe Kafulila anaendelea kwa kusema kuwa Watanzania wameongeza Ukwasi binafsi kiasi ambacho zaidi ya akaunti mpya milioni 20 zimefunguliwa ndani ya miaka mitatu tu ambapo Mobile bank accounts hizo zimefikia 52M Kutoka 32M za tangu Uhuru.

#Sasa kama watu hawana Pesa hizo akaunti wanaweka mawe?

Your browser is not able to display this video.

 
Aiseeee, Kumbe uchumi wa Tanzania unakua sana
Akaunti 20M miaka mitatu
Wakati akaunti 32m tangu uhuru
Tumpigie makofi.
 
Aiseeee, Kumbe uchumi wa Tanzania unakua sana
Akaunti 20M miaka mitatu
Wakati akaunti 32m tangu uhuru
Tumpigie makofi.
Tatizo la awamu hii ya 6 watu hawapewi taarifa nzuri wanalishwa taarifa mbaya tuu
 


Akaunti 52M From 32M
Difference 20M halafu Kuna kichaa anasema Serikali haijafanya kitu,

Pyuuuuu
 
Bank hakuna Dolar za marekani.
Hizi anazozungumzia ni dollar za Zimbabwe?
 
Bhojo kaziro!!!! Nani kama Mama? 5TenaIpo
 
Ukiona CHADEMA wamekimbia jua hilo jambo linahusisha akili za darasani,
Wanaogopa sana namba hawa watu
 
Hayo yote Tisa kitaa mbona hayaleti tija ?

 
Mtaa wako mnafanya kazi kwa bidii na maarifa?
 
Majibu ya muungano, CCM na hali ya umaskini tutaiona 2030.
Vumilieni kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…