Kafulila: Utulivu wa kisiasa wa Rais Samia umekuza Uwekezaji mauzo ya nje yameongezeka kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35Trilion

Awamu zilizopita zilikopa jumla trillion 60 awamu hii pekeake imekopa trillion 30.
 
Kafulila ni zero kabisa. Uwekezaji wa $13 bilioni anaona ni mkubwa sana! Kweli tunaongozwa na watu wajinga sana. Pale msumbiji kampuni 1 iliwekeza $26 billion kwenye LNG, halafu Kafulila kwa ujinga na unafimi wake anaona uwekezaji wa jumla wa $13 billion ni maajabu.

China, uwekezaji wa nje nchini mwake kwa mwaka mmoja wa 2022 ulikuwa $189 billion. Huyu mjinga $13 billion , hakawii kusema RaisSamia amevunja record ya Dunia.

In recent years, China has been the second largest recipient of foreign direct investments (FDI) worldwide, attracting approximately 189 billion U.S. dollars in 2022.

29 Feb 2024.

 
Sawa watanzania tumekuwa wakwasi kwelikweli
 
Hii ni mauzo ya nje sio uwekezaji
 
Kwanza kabisa napenda kutumia nafasi hii kumshukuru Mama kwa kuteua Tumbili๐Ÿ’ kuwa Kiongozi wa binadamu kwa nafasi yake kama Kamishina wa Ubia
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Kwaiyo tumerudishwa uchumi wakati, kumbe ndio maana Jeska alimkimbia Kafurila ziro kabisa, Shilling yetu inaporomoka Kila siku, dollar kwenye mabenki amna,CAG kasema Samia kakopa tillrion 30 kwa miaka 3 ya Samia maana yake nchi inalemewa na madeni, Sasa hiyo hela inasaidia nini nchini.Uchawa nchi hii unaharibu nchi hii.
 
Acha personal attacks mtumishiwaleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ