Kafulila: Utulivu wa kisiasa wa Rais Samia umekuza Uwekezaji mauzo ya nje yameongezeka kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35Trilion

Tanzania inakwenda vizuri japo ni polepole kwakuwa hii nchi pia ni kubwa sana, tuendelee kuiunga mkono CCM.
 
Kafulila alikuwa mpinzani sahihi mwenye kichwa kilichotulia. Kwa Mwenyez Mungu atakuja kujibu kusaliti wananchi hata kama anafanya sawa huko ccm lkn alikuwa nyenzo muhimu katika siqsa za vyama vingi kuibua ufisadi.

Wanasiasa wanasahau kwamba mikono yao sio misafi imejaa damu. Hivyo basi pesa wanayokula simmni haramu.

Jana tulifuturu gizani, tuliswalia gizani. Kwa nn mika 60 ya uhuru tunazimiqna umeme hakuna backup.? We re listening to our selves?

Mbowe katika wanasiasa wote ndiye anaonekana kutonunuliwa. Ndio mwiba pekee....za mbilinyi Joseph sugu.

Zito amehitoa kidizaini nadhani anaelewa hizi dhambi zinazoetendeka katika serikali hakunaga haki.

Ukifuatilia mtendaji anafanya vzr ili Mkurugenzi alinde kibarua chake...das na dc wanahakikisha wanalinda kazi zao..rc rac wanahakikisha wanalinda ugali wao nk nk

Kafulila kama mnakumbuka aliibua escrow akalala na na watu wengi. Tibaijuka alipoteza siha ya usomi wake na mzee wa vijisenti walipoteza uaminifu wao.

Ninlazima wanasiasa wajue wanavyochuma ninharamu
 
Siasa sio uadui,

Ni haki ya Raia yeyote kujiunga na chama chochote
 
Naona unasifia sifia tu nchi za wenzako kwanini?
Kuusema ukweli siyo kusifia. Hata ukiwa duni, utamke kuwa wewe ni duni ili ufanye jitihada ya kuondoka kwenye uduni wako, na siyo kujipa sifa na mafanikio ambayo huna.
 
Nawakumbusha tu kuwa Leo ni ijumaa kuu nyama no.

Nashukuru kwa kuwakumbusha ambao unaamini wamesahau au hawajui ila hao hawatakuwa wakristo au ni wakristo wa majina.

"maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele”.
 
Ila CHADEMA haikufai kabisa Bamas
 
Daaah
 
Hadi CHADEMA nao wanaandamana kama migambo for free
 
Hii nakubaliana nalo 100%βœ“
 
Mkuu mtu kuhama chama ni sini haki yake? Mfano Mimi ni CHADEMA ilA nampenda tu Kafulila
 
Ila huyu kijana anajua sana kujieleza kwakweli,, πŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏ
 
Sawa
 
Mama wanamdanganya huyuu, wanamfanya kama ule mdoli wa Nape!
 
This is also Good, hongera Kafulila
 
Mh.Kafulila unamsimamia PPP Public Private Partnership yaani ubia wa umma na Binafsi.
Umezungumzia investment ya billion dollar 13 ambayo ni total investment bila kuoanisha investment zilizomo ndani ya PPP.
Je Mh.Kafulila ni kiasi gani umma umewekeza na binafsi wamewekeza kwenye miradi ya ubia?
Mara nyingi binafsi ndio anatoa fedha .
Umma anatoa malighafi,misamaa ya kodi,upendeleo wa kibiashara kwa mbia,umiliki wa ardhi husika.
Na kama hali ndio hiyo uoni kitengo chako cha PPP ni unyonyaji mamboleo kwa umma?
Wakati mwingine acha miradi mingine ifanywe na vizazi vijavyo,vinginevyo tutajikuta tumeweka nchi rehani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…