Kafulila: Utulivu wa kisiasa wa Rais Samia umekuza Uwekezaji mauzo ya nje yameongezeka kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35Trilion

Maandamano Kila siku na mambo yanakwenda
 
Utulivu unalipa sana
 
Nakubaliana 100%✓

expand...
Pamoja na kazi nzuri anayoifanya David Kafulila bado Watanzania wanahitaji kupewa Elimu ya kutosha juu ya mambo mazuri kama haya ,

Shida ya Watanzania ni Taarifa tu ndio hawana ndio maana unaweza ukadhani ni wakorofi kumbe hapana

Watu wengi tunaioenda sana CCM.
 
expand...


Hakika kuna kitu kipo kwa Kafulila

Hongera sana ndg yangu Kafulila naona nia yako ni njema Mungu akupe tarajio la moyo wako,

Hakika unanisaidia CCM na Rais Samia na Serikali,

Unajibu hoja kwaakili na kwa staha sana,

Hakika Umebarikiwa sana ndg yangu.

Nafuatilia maandiko yako yote hata usiku huu,

#Ubarikiwe, Ubarikiwe Ubarikiwe X7
 
Kafulila nyota inang'aa sana
 
Hili ni la kweli kabisa Kwa kiwango kikubwa,
 
Libya iran iraq mafuta hayasafirishwi? Hakuna uwiano kati ya siasa na exports, mnaweza kuna na vita kama ukrane na bado exports ikapanda,
 
Ngoja tuone
 
Tanzania ni nchi ya faida sana
 
Tunahitaji watu wengi kama huyu bwama
 

Mbona hatuna vifaa vya uokoaji!
 
Mama mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…