Kafulila watu wameanza kumdharau wamegundua anapitiliza

Kichwani yuko vizuri tatizo ni asili yake ya siasa imemfanya asijue kuna muda wa kunyamaza na kuachia wengine.
 
Binafsi navutiwa sana na anachokifanya Kafulila,

Leo kama Mteule wa Rais angefanya vile anafanya Kafulila hakuna hoja wapinzani wangepenyeza
 
Reactions: YAY
Huyu Hana tofauti na Garson Msigwa pale ikulu, amekuwa, kilaza,sasa, hv makalio, kitambi vimeongezeka, anacheka Cheka tu kama zuzu, au, Malaya kaona lakimoja!
 
Kwanza ana uelewa mdogo sana wa mambo anayoyaongelea, sema kalipa watu wengi sana ku-promote ujinga anao-ongea.

99% ya recurring topics za ujinga wake wa JF ni ujinga mtupu ni maswala ambayo uelewa wake mdogo; my god huyo ndio mtu wa ku-discuss serious issues na wawekezaji.

Kwenye kichwa he is actually convinced he knows it.
 
Kwani usimpinge kwa hoja,

Kwanini ufurahie CHADEMA iendelee kuumizwa na Kafulila na wewe uko vizuri zaidi yake?

#Samia mitano tena
 
Kafulila azibitiwe haraka
Yaani kaajiri matahira wenzake ambao wanaweka active mada zake humu 24/7 utadhani ni vitu vya maana.

Ngoja sasa usome comments:

Kafulila ni asset ya taifa
Kafulila ana akili sana
Tanzania inamuhitaji Kafulila

etc na uthenge wao (excuse my language).

Kafulila ana position ya kupata media airtime, lakini uelewa wake wa maswala husika anayoongelea ni mdogo mno.

Ni sawa kama kufurahisha kadamnasi yetu, lakini sio mtu wa kuongea serious business na watu nje ya mipaka yetu.

Huo uwezo hana
 
Kwani usimpinge kwa hoja,

Kwanini ufurahie CHADEMA iendelee kuumizwa na Kafulila na wewe uko vizuri zaidi yake?

#Samia mitano tena
Huo uwezo wa kuongea hoja na mimi kwa vitu anavyoongea hana.

Yaani hana uwezo huo

Ujinga mtupu, dakika mbili tu namuonyesha ujinga wake
 
Mbona hili tuliliona siku nyingi.
Maneno mingi huyu tumbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…