Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Kamanda Mimi nilisema Kafulila anaua kabisa Upinzani sikueleweka.Yaani kaajiri matahira wenzake ambao wanaweka active mada zake humu 24/7 utadhani ni vitu vya maana.
Ngoja sasa usome comments:
Kafulila ni asset ya taifa
Kafulila ana akili sana
Tanzania inamuhitaji Kafulila
etc na uthenge wao (excuse my language).
Kafulila ana position ya kupata media airtime, lakini uelewa wake wa maswala husika anayoongelea ni mdogo mno.
Ni sawa kama kufurahisha kadamnasi yetu, lakini sio mtu wa kuongea serious business na watu nje ya mipaka yetu.
Huo uwezo hana
Jamaa napandisha mada kila siku kumsifia mgombea wa CCM chama Kiko kimya kabisa.
Kafulila anayoakili tunafahamu tangu akiwa
Upinzani hivyo lazima tumkabili Kwa namna Yoyote Ile.