MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 384
- 418
Ndio alichokua anakitafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nacheka na hawa wasiokuelewa.Sasa mbona machadema mnagombana 😂😂
Uzalendo ni kumtetea Rais na Serikali yake,
Kafulila ni Mzalendo wa kweli, Hali Wala hapokei rushwa ila anapiga spana sana
Kazi ya mwanaCCM yoyote ni kuilinda na kuitetea CCM na Serikali yake.
Kafulila ni kiongozi wa mfano.
Hili taifa ni la hovyo sana!Yaani kaajiri matahira wenzake ambao wanaweka active mada zake humu 24/7 utadhani ni vitu vya maana.
Ngoja sasa usome comments:
Kafulila ni asset ya taifa
Kafulila ana akili sana
Tanzania inamuhitaji Kafulila
etc na uthenge wao (excuse my language).
Kafulila ana position ya kupata media airtime, lakini uelewa wake wa maswala husika anayoongelea ni mdogo mno.
Ni sawa kama kufurahisha kadamnasi yetu, lakini sio mtu wa kuongea serious business na watu nje ya mipaka yetu.
Huo uwezo hana
Na mimi sifikii ujinga wakoKafulila hawezi kuwa mjinga kulinganishwa na wewe.
...'Wataalamu wanasema'... au wewe ndiye unayesema?Hili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi.
Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka anajikomboleza.mwishoni atabakia hana kitu. Wataalamu wanasema pengine ni ushamba na pia kuchanganyikiwa. Alikaa sana juu ya mawe sasa kuja pewa kitengo ni jambo ambalo limemchanganya.
Kwa hali anayoenda nayo wataalamu wanasema siku zijazo atakosa la kuzungumza na watu wata play audio au videos zake kumkumbusha alivyokuwa aki rorojoka. Wanasema aweke akiba ya maneno asiseme akamaliza.
Naona wapinzani kama wameamua kumwacha ili asipate attention na hili ni jambo linaomuumiza sababu anatamani sana apate nafasi ya kupambana aoneshe yeye ni CCM kweli kweli kuliko CCM wenyewe. Sasa wao wanamwacha anaongea peke yake hawamgusi. Hili linamfanya ajaribu kuomba hata midahalo. Wanamwambia yeye hana cheo cha kujadiliana nao. Anaumia.
Afadhari huyo msigwa ni jinga jinga linalojulikana muda mrefu, na hajawahi sifiwa sifiwaHuyu Hana tofauti na Garson Msigwa pale ikulu, amekuwa, kilaza,sasa, hv makalio, kitambi vimeongezeka, anacheka Cheka tu kama zuzu, au, Malaya kaona lakimoja!
Mkuu mimi nipo Tz hii kweli! Kushindwa kumjua 'kiswaswadu' najihisi outdated kabisa!Tumbili unaruka ruka sana wenyewe wenye chama chao wanakuchora tu na utajaa kwenye 18 zao ndiyo maana Kiswaswadu alikuchukulia nke wako.
Walau basi huyo mtu anae abudu awe na uwezo wa kuongelea hizo hoja.Hili taifa ni la hovyo sana!
Kwaya za kuabudu na kusifu ni nyingi sana, kinachosikitisha ni vijana
Cdm wajibu nini kwenye hoja za Kafulila, ama ni hoja ili cdm wazijibu?CHADEMA hebu jibuni hoja za Kafulila acheni visingizio na kutengeneza Nyuzi za kujifichaficha.
Kafulila anahoja tena hoja nzito nzito sana wenye akili tunaona.
Nadhani ndio maana hana mpinzani hata hapa jf kwani yeye anaongea kwa tarakimu.
Hao Wapinzani unaowasema ikiwemo na wewe mnasema mmeamua kumpuuza wakati huo huo ndio ninyi mnaolia lia kuomba Kafulila atulie.
Sasa Kafulila anatuliaje wakati yeye sio CHADEMA ni CCM?
Na anataka mgombea wake ashinde kwa kishindo Uchaguzi Mkuu huu??
Kafulila Lazima aitetee CCM Kwa nguvu na akili zake zote na kwa kufanya hivyo hakosei popote.
Kafulila chapa mwendo.
Wewe unanielewaje?Nacheka na hawa wasiokuelewa.
Ni wahamiaji tu ndani ya CCM au watoto wanao tafuta nafasi ndani ya CCM ndio wanaoweza andika ujinga kama wako.
Binafsi poyoyo uwa naligundu mapema.
CCM wanajua nani anashida ya nafasi na nani anadengulia nafasi zao.
Tuachane na upuuzi huo, tuseme mimi CDM au CCM mwenye wivu ni lipi la maana Kafulila nikionyeshe ni ujinga mtupu kukuthibitishia hana uwezo wa mambo anayoongelea.
Mtasema mengi ila jibuni hoja zakeKafulila akishiba hasumbui.
Wewe ni chawa au Kafulila mwenyewe.Wewe unanielewaje?
Naona kama unashida binafsi na Kafulila,
Then huwezi kumfahamj zaidi Kafulila kuliko aliyemteua.
Wewe hebu, jitafakari vizuri,Wewe ni chawa au Kafulila mwenyewe.
Naheshimu maamuzi ya uteuzi wake.
Shida ni feelings żako kudhani watu wana-feel ‘some type of way’ kwa nafasi ya Kafulila rejea posts zako,
Hakuna anaejali nafasi ya Kafulila, anachokera ni kujaza mapoyoyo humu kumuanzishia mada ya maswala ambayo yeye mwenyewe uelewa wake mdogo. Na machawa wake uelewa wao mdogo wa topic husika.
Halafu kila kukicha wanaziibua hizo mada kutusomesha ujinga wao.
Inakera mpaka basi kusoma ujinga wa Kafulila na wajinga wanao sifia ujinga wake kama wewe.
Embu tutajie hoja moja ya kujibiwa ya Kafulila zaidi ya ujinga tu anaoongea.Mtasema mengi ila jibuni hoja zake
Taja moja tuWewe hebu, jitafakari vizuri,
Hoja za Kafulila ni nani mwingine anaweza kuzijibu?
Kafulila wewe sio saizi yako.
Tafuta wa saizi yako Kafulila acha achape kazi.
Kwani hadi watu walimuita tumbili miaka 20 iliyopita ulifikiri walikuwa wanamuonea?Hili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi.
Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka anajikomboleza.mwishoni atabakia hana kitu. Wataalamu wanasema pengine ni ushamba na pia kuchanganyikiwa. Alikaa sana juu ya mawe sasa kuja pewa kitengo ni jambo ambalo limemchanganya.
Kwa hali anayoenda nayo wataalamu wanasema siku zijazo atakosa la kuzungumza na watu wata play audio au videos zake kumkumbusha alivyokuwa aki rorojoka. Wanasema aweke akiba ya maneno asiseme akamaliza.
Naona wapinzani kama wameamua kumwacha ili asipate attention na hili ni jambo linaomuumiza sababu anatamani sana apate nafasi ya kupambana aoneshe yeye ni CCM kweli kweli kuliko CCM wenyewe. Sasa wao wanamwacha anaongea peke yake hawamgusi. Hili linamfanya ajaribu kuomba hata midahalo. Wanamwambia yeye hana cheo cha kujadiliana nao. Anaumia.
Huna audacity ya kumzungumzia KafulilaTaja moja tu
Nani sio chawa?Kwani hadi watu walimuita tumbili miaka 20 iliyopita ulifikiri walikuwa wanamuonea?
Jamaa ni chawa big time