Kafulila watu wameanza kumdharau wamegundua anapitiliza

Sasa mbona machadema mnagombana 😂😂
Nacheka na hawa wasiokuelewa.

Ni wahamiaji tu ndani ya CCM au watoto wanao tafuta nafasi ndani ya CCM ndio wanaoweza andika ujinga kama wako.

Binafsi poyoyo uwa naligundu mapema.

CCM wanajua nani anashida ya nafasi na nani anadengulia nafasi zao.

Tuachane na upuuzi huo, tuseme mimi CDM au CCM mwenye wivu ni lipi la maana Kafulila nikionyeshe ni ujinga mtupu kukuthibitishia hana uwezo wa mambo anayoongelea.
 
Uzalendo ni kumtetea Rais na Serikali yake,

Kafulila ni Mzalendo wa kweli, Hali Wala hapokei rushwa ila anapiga spana sana

Kazi ya mwanaCCM yoyote ni kuilinda na kuitetea CCM na Serikali yake.

Kafulila ni kiongozi wa mfano.

Hili taifa ni la hovyo sana!

Kwaya za kuabudu na kusifu ni nyingi sana, kinachosikitisha ni vijana
 
...'Wataalamu wanasema'... au wewe ndiye unayesema?

Kafulila ni kiongozi nzuri na mzalendo anayekubalika na kuheshimika sana, isipokuwa kuanza 'kusifia juhudi', tayari anajishusha na kujidumbukiza katika kundi la walamba viatu wasiofaa bila yeye kujua.

Hivi angechapa kazi akatulizana, ni nini kingelimpungukia?

Hakuna kundi la kijamii linaloboa kwa sasa bila kujali cheo cha mtu kama chawa.

Ajiepushe nao sana hawa na aendelee kuchapa kazi, maana kijana wa watu hana mawaa.
 
Huyu Hana tofauti na Garson Msigwa pale ikulu, amekuwa, kilaza,sasa, hv makalio, kitambi vimeongezeka, anacheka Cheka tu kama zuzu, au, Malaya kaona lakimoja!
Afadhari huyo msigwa ni jinga jinga linalojulikana muda mrefu, na hajawahi sifiwa sifiwa

Sasa hawa wanaomsfia kafulila ndo inasikitisha zaidi, safari hii taifa lina tatizo sana!
 
Ccm Vs Ccm
Hao wote ni watoto wa baba mmoja afu sifa yao kubwa ni unafiki na uoga,
Apo wanampondea ila Mama akimteua akuna ata mmoja atakae simama na kupinga
 
Tumbili unaruka ruka sana wenyewe wenye chama chao wanakuchora tu na utajaa kwenye 18 zao ndiyo maana Kiswaswadu alikuchukulia nke wako.
Mkuu mimi nipo Tz hii kweli! Kushindwa kumjua 'kiswaswadu' najihisi outdated kabisa!
Kiswaswadu ni nani, nisaidie mkuu.
 
Hili taifa ni la hovyo sana!

Kwaya za kuabudu na kusifu ni nyingi sana, kinachosikitisha ni vijana
Walau basi huyo mtu anae abudu awe na uwezo wa kuongelea hizo hoja.

My god upumbavu wa Kafulila is beyond na kadri siku zinavyozidi na confidence yake inaongezeka wakati upuuzi unaotoka kichwani na maswala anayoongelea hana hata uelewa nayo.
 
Cdm wajibu nini kwenye hoja za Kafulila, ama ni hoja ili cdm wazijibu?
 
Wewe unanielewaje?

Naona kama unashida binafsi na Kafulila,

Then huwezi kumfahamj zaidi Kafulila kuliko aliyemteua.
 
Wewe unanielewaje?

Naona kama unashida binafsi na Kafulila,

Then huwezi kumfahamj zaidi Kafulila kuliko aliyemteua.
Wewe ni chawa au Kafulila mwenyewe.

Naheshimu maamuzi ya uteuzi wake.

Shida ni feelings żako kudhani watu wana-feel ‘some type of way’ kwa nafasi ya Kafulila rejea posts zako,

Hakuna anaejali nafasi ya Kafulila, anachokera ni kujaza mapoyoyo humu kumuanzishia mada ya maswala ambayo yeye mwenyewe uelewa wake mdogo. Na machawa wake uelewa wao mdogo wa topic husika.

Halafu kila kukicha wanaziibua hizo mada kutusomesha ujinga wao.

Inakera mpaka basi kusoma ujinga wa Kafulila na wajinga wanao sifia ujinga wake kama wewe.
 
Wewe hebu, jitafakari vizuri,

Hoja za Kafulila ni nani mwingine anaweza kuzijibu?

Kafulila wewe sio saizi yako.

Tafuta wa saizi yako Kafulila acha achape kazi.
 
Mtasema mengi ila jibuni hoja zake
Embu tutajie hoja moja ya kujibiwa ya Kafulila zaidi ya ujinga tu anaoongea.

Kwenye kichwa chako unaamini Kafulila uwa anaongea mambo ya maana, zaidi ya kuziamsha posts zake za ujinga kila uchao.

Embu tutajie jambo moja la maana Kafulila aliloongea kwenye kichwa chako ambacho JF imeshindwa kuonyesha ni akili za taahira.
 
Kwani hadi watu walimuita tumbili miaka 20 iliyopita ulifikiri walikuwa wanamuonea?

Jamaa ni chawa big time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…