imma mkatoliki
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 218
- 159
Nimeshakwambia jibu sahihiIs it ‘benefit of the doubt’ or ‘benefit of doubt’
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshakwambia jibu sahihiIs it ‘benefit of the doubt’ or ‘benefit of doubt’
Na wasomaji wa JF wanajua jibu sahihi.Nimeshakwambia jibu sahihi
Kafulila sio saizi yako lazima uelewe hili acha kulazimisha mamboNa wasomaji wa JF wanajua jibu sahihi.
Upo sahihi kabisa, Tumbili hana utulivu hajatulia, na hapa jukwaani ana Mamluki kama wote, ana Id zake pia, kila siku thread za Tumbili, yaani hata mods wako nyuma yake, thread za kishamba za kujikomba zinaachwa kila siku, unakuta kwa siku thread 2 za Tumbili🤔🤔🤔🤣🤣Hili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi.
Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka anajikomboleza.mwishoni atabakia hana kitu. Wataalamu wanasema pengine ni ushamba na pia kuchanganyikiwa. Alikaa sana juu ya mawe sasa kuja pewa kitengo ni jambo ambalo limemchanganya.
Kwa hali anayoenda nayo wataalamu wanasema siku zijazo atakosa la kuzungumza na watu wata play audio au videos zake kumkumbusha alivyokuwa aki rorojoka. Wanasema aweke akiba ya maneno asiseme akamaliza.
Naona wapinzani kama wameamua kumwacha ili asipate attention na hili ni jambo linaomuumiza sababu anatamani sana apate nafasi ya kupambana aoneshe yeye ni CCM kweli kweli kuliko CCM wenyewe. Sasa wao wanamwacha anaongea peke yake hawamgusi. Hili linamfanya ajaribu kuomba hata midahalo. Wanamwambia yeye hana cheo cha kujadiliana nao. Anaumia.
Mr tumbili yupo na sifa kama nduguzo, Tumbili wana vituko sana aiseeHili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi.
Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka anajikomboleza.mwishoni atabakia hana kitu. Wataalamu wanasema pengine ni ushamba na pia kuchanganyikiwa. Alikaa sana juu ya mawe sasa kuja pewa kitengo ni jambo ambalo limemchanganya.
Kwa hali anayoenda nayo wataalamu wanasema siku zijazo atakosa la kuzungumza na watu wata play audio au videos zake kumkumbusha alivyokuwa aki rorojoka. Wanasema aweke akiba ya maneno asiseme akamaliza.
Naona wapinzani kama wameamua kumwacha ili asipate attention na hili ni jambo linaomuumiza sababu anatamani sana apate nafasi ya kupambana aoneshe yeye ni CCM kweli kweli kuliko CCM wenyewe. Sasa wao wanamwacha anaongea peke yake hawamgusi. Hili linamfanya ajaribu kuomba hata midahalo. Wanamwambia yeye hana cheo cha kujadiliana nao. Anaumia.
Wewe Nini kinakuwasha?Upo sahihi kabisa, Tumbili hana utulivu hajatulia, na hapa jukwaani ana Mamluki kama wote, ana Id zake pia, kila siku thread za Tumbili, yaani hata mods wako nyuma yake, thread za kishamba za kujikomba zinaachwa kila siku, unakuta kwa siku thread 2 za Tumbili🤔🤔🤔🤣🤣
Nadhani ungejenga hojaMr tumbili yupo na sifa kama nduguzo, Tumbili wana vituko sana aisee
Hakuna siku Kafulila kazungumza bila namba tangu lini namba ilidanganya?
Na unapomjibu lazima uzingatie kabisa Kuna Sheria ya takwimu nadhani shida ndio inaanzia hapa namna ya kumjibu,
Anawapiga spana za kutoshaKafulila ni mkweli, CDM hawapendi ukweli
Kafulila ni mkweli, CDM hawapendi ukweli
Anawezaje kukumbuka halafu akashindwa kuzitafsiri?..kafulila yuko vizuri kwenye kukumbuka takwimu, lakini ana uwezo mdogo wa kutafsiri takwimu anazozinukuu.
MMlichelewa sana kujua kwamba huyu chawa ni janga kubwa katika Taifa hili.Hili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi.
Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka anajikomboleza.mwishoni atabakia hana kitu. Wataalamu wanasema pengine ni ushamba na pia kuchanganyikiwa. Alikaa sana juu ya mawe sasa kuja pewa kitengo ni jambo ambalo limemchanganya.
Kwa hali anayoenda nayo wataalamu wanasema siku zijazo atakosa la kuzungumza na watu wata play audio au videos zake kumkumbusha alivyokuwa aki rorojoka. Wanasema aweke akiba ya maneno asiseme akamaliza.
Naona wapinzani kama wameamua kumwacha ili asipate attention na hili ni jambo linaomuumiza sababu anatamani sana apate nafasi ya kupambana aoneshe yeye ni CCM kweli kweli kuliko CCM wenyewe. Sasa wao wanamwacha anaongea peke yake hawamgusi. Hili linamfanya ajaribu kuomba hata midahalo. Wanamwambia yeye hana cheo cha kujadiliana nao. Anaumia.
Wewe ni KAFULILA. Hebu tuliza kalio watu wakujadili. IDs umekuwa nazo nyingi mnoHakuna siku Kafulila kazungumza bila namba tangu lini namba ilidanganya?
Na unapomjibu lazima uzingatie kabisa Kuna Sheria ya takwimu nadhani shida ndio inaanzia hapa namna ya kumjibu,
Hii ID ina siku 3 tu tangu ijisajili JF... Hii ni Akaunti ya Kichwawa..Wewe ulihojiwa wapi ukafanya vizuri?
Kafulila ni janga kwa CHADEMA sio Taifa hapa umepitiwa.MMlichelewa sana kujua kwamba huyu chawa ni janga kubwa katika Taifa hili.
Humu ana ID kama nne ambazo zote anajizungumzia yeye na kujipemdekeza kuliko pitiliza. Lakini kimsingi ni bwana mweupe kama walivyo weuoe wenzake!
Hilo jina KAFULILA ninapoliona kwenye hizo mada zake huwa sihangaiki hata kuzifungua.
Achana na mambo ya IDs njoo ujenge hoja tukuelewe.Hii ID ina siku 3 tu tangu ijisajili JF... Hii ni Akaunti ya Kichwawa..
Atulie kwa maana kizuri chajiuza bali * kibaya hujitembeza " , Akili mu kichwa !Hili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi.
Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka anajikomboleza.mwishoni atabakia hana kitu. Wataalamu wanasema pengine ni ushamba na pia kuchanganyikiwa. Alikaa sana juu ya mawe sasa kuja pewa kitengo ni jambo ambalo limemchanganya.
Kwa hali anayoenda nayo wataalamu wanasema siku zijazo atakosa la kuzungumza na watu wata play audio au videos zake kumkumbusha alivyokuwa aki rorojoka. Wanasema aweke akiba ya maneno asiseme akamaliza.
Naona wapinzani kama wameamua kumwacha ili asipate attention na hili ni jambo linaomuumiza sababu anatamani sana apate nafasi ya kupambana aoneshe yeye ni CCM kweli kweli kuliko CCM wenyewe. Sasa wao wanamwacha anaongea peke yake hawamgusi. Hili linamfanya ajaribu kuomba hata midahalo. Wanamwambia yeye hana cheo cha kujadiliana nao. Anaumia.
stupidity,Kwanza ana uelewa mdogo sana wa mambo anayoyaongelea, sema kalipa watu wengi sana ku-promote ujinga anao-ongea.
99% ya recurring topics za ujinga wake wa JF ni ujinga mtupu ni maswala ambayo uelewa wake mdogo; my god huyo ndio mtu wa ku-discuss serious issues na wawekezaji.
Kwenye kichwa he is actually convinced he knows it.
Nadhani lengo la haya yote ni hii statement 😂Atulie kwa maana kizuri chajiuza bali * kibaya hujitembeza " , Akili mu kichwa !