Kafulila watu wameanza kumdharau wamegundua anapitiliza

Kafulila watu wameanza kumdharau wamegundua anapitiliza

CHADEMA hebu jibuni hoja za Kafulila acheni visingizio na kutengeneza Nyuzi za kujifichaficha.

Kafulila anahoja tena hoja nzito nzito sana wenye akili tunaona.

Nadhani ndio maana hana mpinzani hata hapa jf kwani yeye anaongea kwa tarakimu.

Hao Wapinzani unaowasema ikiwemo na wewe mnasema mmeamua kumpuuza wakati huo huo ndio ninyi mnaolia lia kuomba Kafulila atulie.

Sasa Kafulila anatuliaje wakati yeye sio CHADEMA ni CCM?

Na anataka mgombea wake ashinde kwa kishindo Uchaguzi Mkuu huu??

Kafulila Lazima aitetee CCM Kwa nguvu na akili zake zote na kwa kufanya hivyo hakosei popote.

Kafulila chapa mwendo.
CHADEMA bado hawajasema
 
Hili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi.

Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka anajikomboleza.mwishoni atabakia hana kitu. Wataalamu wanasema pengine ni ushamba na pia kuchanganyikiwa. Alikaa sana juu ya mawe sasa kuja pewa kitengo ni jambo ambalo limemchanganya.

Kwa hali anayoenda nayo wataalamu wanasema siku zijazo atakosa la kuzungumza na watu wata play audio au videos zake kumkumbusha alivyokuwa aki rorojoka. Wanasema aweke akiba ya maneno asiseme akamaliza.

Naona wapinzani kama wameamua kumwacha ili asipate attention na hili ni jambo linaomuumiza sababu anatamani sana apate nafasi ya kupambana aoneshe yeye ni CCM kweli kweli kuliko CCM wenyewe. Sasa wao wanamwacha anaongea peke yake hawamgusi. Hili linamfanya ajaribu kuomba hata midahalo. Wanamwambia yeye hana cheo cha kujadiliana nao. Anaumia.
Sidhani kama watu wameanza kumdharau.

Lakini nina hakika amekuwa akitoa baadhi ya data zisizo na uhalisia.
Pia programu zake za PPP hazijaonyesha tija ya maana.

Kama ingekuwa ni biashara tunaweza kusema haija-break even (haijatoa faida) tangu ianzishwe taasisi hiyo.
 
Wewe hebu, jitafakari vizuri,

Hoja za Kafulila ni nani mwingine anaweza kuzijibu?

Kafulila wewe sio saizi yako.

Tafuta wa saizi yako Kafulila acha achape kazi.
Hivi hoja zipi unazosema ambazo hakuna wa kuzijibu?
 
Sidhani kama watu wameanza kumdharau.

Lakini nina hakika amekuwa akitoa baadhi ya data zisizo na uhalisia.
Pia programu zake za PPP hazijaonyesha tija ya maana.

Kama ingekuwa ni biashara tunaweza kusema haija-break even (haijatoa faida) tangu ianzishwe taasisi hiyo
Sidhani kama watu wameanza kumdharau.

Lakini nina hakika amekuwa akitoa baadhi ya data zisizo na uhalisia.
Pia programu zake za PPP hazijaonyesha tija ya maana.

Kama ingekuwa ni biashara tunaweza kusema haija-break even (haijatoa faida) tangu ianzishwe taasisi hiyo.
Wewe hizo data fake kwanini usizipinge kwa data pure?

Kabla ya Kafulila uliwahi kusikia neno PPP Tanzània?

Unasemaje Kafulila hajafanya chochote wakati hata mwaka hajamaliza?

Leo kila mtu anajadili PPP hapa nchini huoni kama haya ni Mafanikio?

Kafulila usirudi nyuma kazi zako watu wengi tunazithamini.
 
Back
Top Bottom