Kafulila watu wameanza kumdharau wamegundua anapitiliza

Kwani kuna yeyote alikuwa akimuamini au kumpa uzito chawa kafulia? Hata mkewe alimwacha baada ya kugundua hafai kwa lolote
 
Kwani kuna yeyote alikuwa akimuamini au kumpa uzito chawa kafulia? Hata mkewe alimwacha baada ya kugundua hafai kwa lolote
Hata Wewe unamwamini ndio maana unafuatilia mambo yake,

Kafulila ni hazina kwa Taifa lia nyamaza.
 
Wameanza au wanaendelea kumdharau??
 
Mtu gani kila siku yupo wenye media, anamshinda boss wake. Siku 365 na robo yupo kwenye media
 
Kafull
Kafulila is for the fools.

Anaokoteza habari zisizo na uhalisia, anazifanya kuwa ni data. Hakuna mwenye weledi anaweza kupoteza muda wake kufanya arguments na machawa. Hakuna chawa ambaye yulo kwenye utimamu wa akili. Kafulila worth to be ignored.
 
Unawezaje kumpuuza mtu anayezumgumza kwa namba kwenye hii Dunia?
 
Kwa hiyo kila Mwana CCM aanze kupayuka payuka kama Kafulila, pamoja na walio humu JF? Sasa kuna haja gani ya kuwa na wasemaji katika sehemu walipowekwa?
 
Kwa hiyo kila Mwana CCM aanze kupayuka payuka kama Kafulila, pamoja na walio humu JF? Sasa kuna haja gani ya kuwa na wasemaji katika sehemu walipowekwa?
CHADEMA BADO HAMJASEMA.🤣🤣

Mkurugenzi wa PPP ndio Msemaji wa PPP hapo tatizo liko wapi?

Hivi unajua PPP inazungumzia karibu kila Wizara na Idara?

Jipe muda kuifahamu vema PPP.

LAKINI, Niwapi Kafulila kazungumzia mipango ya CCM au Itifiki za Msemaji wa Serikali?
 
Hiyo ndiyo shida ya watendaji wetu wa serikari. Badala ya kutumia akili zao kuchambua mambo wanaeleza kwa kutumia akili za aliyekosea ili mrija usikate.
 
Mimi sio Chadema, na kudhani mtu anaemsema Kafulila ni Chadema ni kuonyesha uwezo mdogo wa utambuzi au ushabiki wa kiasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…