Kagame alishangaa unawezaje kuua watu ambao kimsingi unapaswa kuwalinda ili kupata madaraka?

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Museveni aliyempa maharamia ya kuja kuua watoto wa Tanganyika yeye alimaliza Uchaguzi uliokuwa na mikiki mikiki yote lakini hakuua hata mbu.

Kagame alishangaa unawezaje kuua watu ambao kimsingi unapaswa kuwalinda ili kupata madaraka? Na ndiyo sababu yeye na vijana wadogo wa Rwanda nyakati hizo waliamua kupigana vita kumwondoa Habyarimana, maana alikuwa na tabia kama za Samia kuua, kuteka na kupoteza wapinzani wake kisiasa.

Kwa kuwa ukweli ni kwamba Samia na magenge yake waliua raia wengi ndani ya siku 3 tu zaidi ya Watanzania waliokufa katika miaka miwili ya vita na Idi Amini Dada, yeye Idi Amini Mama lazima kimrambe liwake jua ama inyeshe mvua, OFCOURSE!

Go to hell Samia & burn among the rocks. Hutoboi katika hili nywinywinywi weee🚮🚮
 
Lijinga sana hilo limama.....akili ya kufikili ni ndogo sana
 
Back
Top Bottom