mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Naanza hapa kuna limoja lipo Tanganyika packers. Multitude of Unemployed Youths go to Pray for miracle Jobs [emoji1][emoji1][emoji1]Kuna makanisa ni kero hapa tz yapo mengi sana. Ni vile tuu hujui
Inasikitisha kuwa hadi leo kuna watu hawana uhakika wa uzima wa milele!!Kagame anajua ukweli kuhusu makanisa na misikiti. Ni mwanajeshi yule kaenda mafunzo mengi sana ya kijeshi duniani toka enz yuko na museven uganda.
Ukweli ni kwamba dini zote zimetengenezwa na watu ili kutawala kuwe rahisi.. na pia matendo mabaya yapungue duniani. Jiulize hivi kuna dini tu bado watu tunauana. Tunatapeli, tunazulumu. Je zisingekuwepo ingekuwaje?
Mungu yupo kwenye mind za binadamu tu.
Panya anazaliwa na kufa kama binadamu..je na panya mwema ataenda peponi na panya mwovu jehanamu?
Vipi kuhusu simba na wanyama wengine kama nyani
What do you speak to those who are employed and are faithful church members?Naanza hapa kuna limoja lipo Tanganyika packers.... multitude of Unemployed Youths go to Pray for miracle Jobs [emoji1][emoji1][emoji1]
Mungu hapangiwi utaratibu wa kuinua watumishi