Kagame anajisifia kufunga makanisa na misikiti: Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu!

Kagame anajisifia kufunga makanisa na misikiti: Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu!

Mkono wa Mungu ulishindwa kuonekana kwenye mauaji ya kimbari uje uonekane hapa?

Ngoja tuone vita kati ya mkono wa Mungu na mkono wa serikali ila mpaka saizi serikali ina asilimia 95 za ushindi.
Nilitegemea comment kama hii
Naheshimu maoni yako ila kwangu Mungu anaachilia au kuzuia jambo ukiwa na sababu zake
 
Mkono wa Mungu ulishindwa kuonekana kwenye mauaji ya kimbari uje uonekane hapa?

Ngoja tuone vita kati ya mkono wa Mungu na mkono wa serikali ila mpaka saizi serikali ina asilimia 95 za ushindi.

[emoji23][emoji23] [mention]Scars [/mention] nimeandika uzi wa wewe kuandika kitabu naomba uchek kwenye my profile
 
[emoji23][emoji23] [mention]Scars [/mention] nimeandika uzi wa wewe kuandika kitabu naomba uchek kwenye my profile
Nimeuona ila nimeuacha makusudi kwasababu kadhaa ambazo nisingependa kuziweka hapa

Ila naomba nikuwie radhi kwa hilo
 
Naomba unisaidie ushahidi wa hili.

Ushahidi hauwekwi hadharani ili imani isipotee kwa jamii Ila kwenye mafunzo ya special force ama mission serious utapewa ushahidi..

Kama una akili jiulize maswali tu ya kawaida kuhusu maisha ya wanaokuzunguka kama wana mitihani sawa ama kuna watu wana upendeleo wa mitihani mirahisi wengine migumu?
 
Mtoa mada huenda ujamuelewa,msomeshe mwanao atakuja kumuelewa,hapingi uwepo wa makanisa na misikiti,msimamo wako bado uko vile vile
 
Kagame anajisifia ubabe wa kufunga makanisa elfu sita na misikiti 100!! Anaongea hayo kwa madaha wakati pumzi inayomwezesha kuishi kila dakika inatoka kwa Mungu!! Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu hapa duniani kwanza kisha jehanamu kama hatatubu!! Akitubu Mungu ni wa rehema atamsamehe!!

View attachment 2358229
Mbona Yuko sawa. Lazima uwe na digrii ya theology Ni rahisi mno ku mislead watu kisa umekariri vifungu fulani.
Watu Wana njaa wanafungua makanisa. Tangiapo hizi dini mkoloni na mwarabu amekuja kutuchanganya akili zetu. Cheki hao waliotuuza ndio Mungu wao alivyowaambia.
 
makanisa ya kilokole yanakera sana, aya ndio yaanze kufungwa, yamekuwa kero wanafanya maombi bila utuliv na ustaarab
Ipo siku utatatafuta hayo makanisa na hutayaona. Okoka ndugu. Mwamini Yesu
 
Sema hapa kakosea, asinge yafunga tu ingebidi ayabomoe kabisa uwanja unao patikana afanye kitu cha maana au aya convert kuwa hospitali au shule
Hiyo vita hakuna mwanadamu aliyoweza. Ni vita mbaya sana. Ina Siri kubwa ndani yake. Anachokifanya kagame hajui tu
 
Ushahidi hauwekwi hadharani ili imani isipotee kwa jamii Ila kwenye mafunzo ya special force ama mission serious utapewa ushahidi..
Wewe uliuonea wapi kati ya hizo njia mbili?
Ulienda special force ama upo kwenye mission serious?
 
Hawa siyo wachungaji. Haya ni maigizo watu wanafanya ili kuuchafua Ukristo. Hakuna mchungaji ambaye anaweza kujambia watu wazima hivi!
Mtaani mwizi akivaa uniform anaitwa tapeli na sio polisi. Tapeli akijiita mchungaji watu wanamtumia kama ushahidi wa ujinga wa Wakristo.

Kuna ujinga wa kujitakia kati ya watu wengi sana!
 
Back
Top Bottom