Mama samia naomba ufunge makanisa ambayo wachungaji wake hawajasomea shule ya uchungaji.
Pili hawajasimikwa na kupakwa mafuta matakatifu ya bwana hajafanyiwa misa takatifu yakusimikwa wao wanasema wamechaguliwa na bwana kuhubiri neno.
Hatujakataa na hatuhukumu ila ukweli ni huu .
Lazima kama umechaguliwa kuhubiri neno la Mungu uende shule ujue jinsi ya kutunza na kuishi na watoto wa Mungu na upakwe mafuta matakatifu.
Hata kwenye biblia inasema watakuja manabii wauongo na ukiambiwa Yesu yuko hapa usiende.
Kila goti litapigwa kwake Yesu atuape uhai siku ya mwisho usiku mwema