Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Unawapimaje sasa wakati wote wanadi kutambuliwa kwa kutumia mitutu ya bunduki?Waasi wa M23 hawana itikadi za genocide kama walivyo waasi wa FDLR
Hayana impactHivi mchango/maoni ya "Mama" na PM wa DRC kwenye hicho kikao ni yapi? Sijaona yakinukuliwa popote.
BTW😛amoja na Rwanda kutuhumiwa lakini sijasikia mtu aliyenukuliwa akiitaja kwa namna yoyote zaidi ya Kagame mwenyewe kunako kikao.
Soma historiaUnawapimaje sasa wakati wote wanadi kutambuliwa kwa kutumia mitutu ya bunduki?
Siungi mkono uwepo wa MAJESHI ya kigeni yasiyoalikwa katika ardhi ya kigeni.....Moja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka kusikia suala la waasi wa kihutu waliokimbilia DRC nao kutambuliwa kama sehemu ya jamii ya Rwanda yenye haki ya kuongoza na kutawala Rwanda.
Kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu!
Hakika!Waasi wa M23 hawana itikadi za genocide kama walivyo waasi wa FDLR
Yeah!... Kagame ukimtajia FDLR mtageuka maaduiMoja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka kusikia suala la waasi wa kihutu waliokimbilia DRC nao kutambuliwa kama sehemu ya jamii ya Rwanda yenye haki ya kuongoza na kutawala Rwanda.
Kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu!
FDLR ni masalia ya wakimbizi wa kihutu kutokea Rwanda.Waasi wa M23 hawana itikadi za genocide kama walivyo waasi wa FDLR
Lakini FDLR nao ni Rwandese au unabisha?Waasi wa M23 hawana itikadi za genocide kama walivyo waasi wa FDLR
FDLR hawataki kurudi RwandaLakini FDLR nao ni Rwandese au unabisha?
Kama M23 ni Wakongo basi na FDRL ni Wanyarwanda. Kila mtu arudi kwao au atambuliwe kwao.
Wakimbizi wa kihutu hawaishi katika makambi ya wakimbizi....wakimbizi gani wana silaha na armoured machineries?!!!FDLR ni masalia ya wakimbizi wa kihutu kutokea Rwanda.
Hakika.....FDLR hawataki kurudi Rwanda
Hawajakatazwa kurudi, wanaogopa wenyewe kawani wengi waowanajua walivyoshiriki kwenye genocide. Waende tu watapokelewa.Lakini FDLR nao ni Rwandese au unabisha?
Kama M23 ni Wakongo basi na FDRL ni Wanyarwanda. Kila mtu arudi kwao au atambuliwe kwao.
Tafuta speech ya Mama akiwa anafungua mkutano iko very touching , yaani Mama Kamshitakia Mungu,pale alipo sema history itatuhukumu juu ya damu za watu wasio kua na hatia!!Hivi mchango/maoni ya "Mama" na PM wa DRC kwenye hicho kikao ni yapi? Sijaona yakinukuliwa popote.
BTW😛amoja na Rwanda kutuhumiwa lakini sijasikia mtu aliyenukuliwa akiitaja kwa namna yoyote zaidi ya Kagame mwenyewe kunako kikao.