Kagame anataka DRC iwatambue waasi wa M23 lakini yeye hataki kuwatambua waasi wa kihutu!

Kagame anataka DRC iwatambue waasi wa M23 lakini yeye hataki kuwatambua waasi wa kihutu!

Kwa nini Kagame anataka M23 Banyamulenge watambuliwe DRC?

Sababu za nje; Kagame anasema hao raia kwao ni DRC. Hapo anaona ardhi ya Rwanda ni ndogo, hivyo DRC inaposema warudi Rwanda, Kagame anaona hatari ya over population.

Sababu za ndani anazijua mwenyewe Kagame
 
Unamuonea huyo Kagame....

M 23 ni wakongomani....wako Kongo toka baada ya kuisha vita vya pili vya dunia (1939-1945)...waliendelea kuhamia huko mpaka mwanzoni mwaka miaka ya 1960....hao ni raia wa DRC....

Mauaji ya kimbari na kuingia madarakani Kagame hakuhusiani na BANYARWANDA-BANYAMULENGE(M 23).

Think thrice
 
Kagame yupo sawa kuwatetea na kuwapa silaha Banyamulenge mana asipofanya hivyo watalazimishwa kurudi Rwanda ambako ardhi ni ndogo na wameishakuwa wengi.
 
Kagame yupo sawa kuwatetea na kuwapa silaha Banyamulenge mana asipofanya hivyo watalazimishwa kurudi Rwanda ambako ardhi ni ndogo na wameishakuwa wengi.
Mkuu unachanganya mambo....

M 23 ni wakongomani na ni waasi....unawarudisha wapi ?!!

Muasi anahukumiwa kwa sheria za nchi yake....Rwanda si nchi yao hao M 23......
 
Mkuu unachanganya mambo....

M 23 ni wakongomani na ni waasi....unawarudisha wapi ?!!

Muasi anahukumiwa kwa sheria za nchi yake....Rwanda si nchi yao hao M 23......
Namanisha hivi. M23 wanapigania maslahi ya raia wa jamii ya Kitusi ambao wanasema wanatengwa na serikali ya DRC huko Mashariki. DRC wao wanasema hao ni raia wa Rwanda hivyo warudi kwao.

Rwanda ni nchi ndogo. Hivyo, Kagame anawasapoti M23 dhidi ya serikali ya DRC mana wakiwa dhaifu tayari wale Watusi wa DRC watanyanyasika na kufurushwa kurudi Rwanda ambako ardhi ni ndogo kitu ambacho Kagame hataki kitokee.

Lakini pia, kwakuwa wanaingiliana na Rwanda, inawezekana Kagame ananufaika nao hao Banyamulenge katika madini.
 
Una hoja mkuu....

Ila.....

Serikali ya DRC inafanya kosa kubwa sana kusema BANYARWANDA-BANYAMULENGE ni raia wa RWANDA na wanatakiwa kurudi kwao....this is a gravious misdemeanor"...

Watu waliohamia kwenu kabla hata ya kupata uhuru wenu na wakakubali kuwa WAKONGOMANI leo unadai warudi kwao ?!!! Khaaaa upuuzi mkubwa huu

#Tanzania kwanza!
 
Kagame kafikia mwisho wa utawala wake... Siku yoyote mtasikia limemkuta jambo... Na mwisho wake unasubiriwa kwa hamu na wanyarwanda kuliko tunavyo fikiri...
Kagame is no longer capable to lead Rwanda
 
Moja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka kusikia suala la waasi wa kihutu waliokimbilia DRC nao kutambuliwa kama sehemu ya jamii ya Rwanda yenye haki ya kuongoza na kutawala Rwanda.

Kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu!
Kagame hajawahi kuwazuia FDLR kurudi nyumbani, na millions walisharudi na hata wale waliofanya genocide na wengi walihukumiwa na wameshamaliza vifungo vyao wako uraiani, fanya research kabla ya kutoa taarifa zisizo na ukweli
 
Kagame kafikia mwisho wa utawala wake... Siku yoyote mtasikia limemkuta jambo... Na mwisho wake unasubiriwa kwa hamu na wanyarwanda kuliko tunavyo fikiri...
Kagame is no longer capable to lead Rwanda
Stick your head in the sand
 
Je unajua nini waasi wa kihutu hao unaowasema ( FDRL) kitu Walichowahi fanya Rwanda? Na bado mango wao ni kurudi Rwanda na kurudia tena, hata mimi nisingekubali...
 
lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka kusikia suala la waasi wa kihutu waliokimbilia DRC nao kutambuliwa kama sehemu ya jamii ya Rwanda yenye haki ya kuongoza na kutawala Rwanda.
Waanze na yeye
 
Siungi mkono uwepo wa MAJESHI ya kigeni yasiyoalikwa katika ardhi ya kigeni.....

Ila ......

M 23 haifanani na FDRL.....

FDRL ni wanyarwanda wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya kimbari 1994.....

M 23 ni wakongomani wenye asili ya Kitutsi wanaodai kuwa serikali ya DRC inawabagua raia wake (Banyamulenge)....hawa siku nyingi wako DRC kabla ya "1994 Genocide".....

#Tanzania Kwanza!
Mkuu bado unagusa juu juu tu kuhusu chanzo cha hao Intarahamwe (FDRL) kufanya mauaji ya halaiki.

Chanzo na kirusi kikuu kwenye haya yote ni Paul Kagame!! Asingetungua ndege ile, mauaji ya halaiki yasingetokea, hao Intarahamwe wasingekuwepo Kongo na M23 wasingezaliwa??

Njia pekee ya kuututua mgogoro huu kwa sasa ni kumuondoa Paul kagame madarakani, au kumpa kichapo cha mbwa mwizi au kumzima mazima.

Huo ndio ukweli!!
 
Wakimbizi wa kihutu hawaishi katika makambi ya wakimbizi....wakimbizi gani wana silaha na armoured machineries?!!!

Watanzania tungekubali wakimbizi wa kirundi wawe na silaha za kivita na kurandaranda katika ardhi yetu?!!
Mkuu hiyo ni shida ya Kongo na utaratibu wao.
 
Back
Top Bottom