Kagame anataka DRC iwatambue waasi wa M23 lakini yeye hataki kuwatambua waasi wa kihutu!

Hqo wahutu walichowafanyq watutsi mkuu hata kama ni nani asingewakubali. M23 siwakubali ila bora hao kidogo.
 
Tafuta speech ya Mama akiwa anafungua mkutano iko very touching , yaani Mama Kamshitakia Mungu,pale alipo sema history itatuhukumu juu ya damu za watu wasio kua na hatia!!
Kifo ni kifo tu
 
Moja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka kusikia suala la waasi wa kihutu waliokimbilia DRC nao kutambuliwa kama sehemu ya jamii ya Rwanda yenye haki ya kuongoza na kutawala Rwanda.

Kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu!
Duh jamaa kashajipatia nchi nyingine ambayo ataweka watu wake. Hii bahima empire naona Ipo serious na bongo tukae chonjo Wana mipango ya muda mrefu zaidi ya miaka 50
 
We ulikuwepo kwenye kikao cha marais? Au kikao cha kijiweni kwenu?
 
Je unajua nini waasi wa kihutu hao unaowasema ( FDRL) kitu Walichowahi fanya Rwanda? Na bado mango wao ni kurudi Rwanda na kurudia tena, hata mimi nisingekubali...
Watu wanachukulia kiwepesi sana....

Ukivaa viatu vya hao wahanga wa "genocide" unaona uzito wa hilo jambo....
 
Wakimbizi wa kihutu hawaishi katika makambi ya wakimbizi....wakimbizi gani wana silaha na armoured machineries?!!!

Watanzania tungekubali wakimbizi wa kirundi wawe na silaha za kivita na kurandaranda katika ardhi yetu?!!
Nani yuko nyuma ya hao FDLR
 
Duh jamaa kashajipatia nchi nyingine ambayo ataweka watu wake. Hii bahima empire naona Ipo serious na bongo tukae chonjo Wana mipango ya muda mrefu zaidi ya miaka 50
Nafikiri kivyingine....

Afrika ina makabila mawili tu....

-Bantu na Nilotics.

Yaani karne hii ya muingiliano mkubwa bado tu tuna kitisho cha hoja za "delusions-false ,fixed , unshakable beliefs"?!!

Well....

Si kila BANYARWANDA-BANYAMULENGE anawaunga mkono M 23....

BANYARWANDA-BANYAMULENGE ni wakongomani...wako huko toka 1945...wana haki zote za kiraia...

M 23 nao ni wakongomani....

Hiki ni kizazi kipya hebu twende na mawazo mapya ya kuijenga Afrika yetu zaidi ya fikra koko za chuki zisizo na maana.....

#Tanzania kwanza!
#Afrika moja !
 
Kuna wakushi shekhe
 
Moja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha jamii ya walowezi wa kitutsi iliyopo DRC (Banyamlenge), lakini hapo hapo Kagame hataki kabisa kutaka kusikia suala la waasi wa kihutu waliokimbilia DRC nao kutambuliwa kama sehemu ya jamii ya Rwanda yenye haki ya kuongoza na kutawala Rwanda.

Kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu!
And, he want us to believe that, he is not providing military support to M23 !!!
 
Kagame na RPF yake ndiyo engineers wa genocide.
Ha ha ha umekuwa kama wale wanaokataa uwepo wa HOLOCAUST iliyowaangamiza binadamu...wayahudi milioni 6 kule kwenye "gas chambers"..

Hebu tuweni WANAADAMU jamani.....

#Tanzania kwanza!
 
Back
Top Bottom