Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
DuuhGenocide ilikua ni matokeo yaliyosababishwa na kuuawa Habyarimana. Mauaji ambayo yalifanywa na vikosi vya Kagame kwa amri yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuhGenocide ilikua ni matokeo yaliyosababishwa na kuuawa Habyarimana. Mauaji ambayo yalifanywa na vikosi vya Kagame kwa amri yake.
Sasa kilicho trigger genocide ni kipibkama siyo kutunguliwa kwa ile ndege ilipikuwa inatua na kupelekea kuuawa kwa marais wa Rwanda na Burundi?Ha ha ha umekuwa kama wale wanaokataa uwepo wa HOLOCAUST iliyowaangamiza binadamu...wayahudi milioni 6 kule kwenye "gas chambers"..
Hebu tuweni WANAADAMU jamani.....
#Tanzania kwanza!
Kwani Kagame amewakataa hao FDRL kuwa sio raia wa Rwanda?Yeah!... Kagame ukimtajia FDLR mtageuka maadui
nakubaliliana na wewe vinginevyo mauwaji Congo hataisha.Mkuu bado unagusa juu juu tu kuhusu chanzo cha hao Intarahamwe (FDRL) kufanya mauaji ya halaiki.
Chanzo na kirusi kikuu kwenye haya yote ni Paul Kagame!! Asingetungua ndege ile, mauaji ya halaiki yasingetokea, hao Intarahamwe wasingekuwepo Kongo I na M23 wasingezaliwa??
Njia pekee ya kuututua mgogoro huu kwa sasa ni kumuondoa Paul kagame madarakani, au kumpa kichapo cha mbwa mwizi au umzima mazima.
Huo ndio ukweli!!
Kuwa na itikadi yoyote au kushutumiwa kwa jambo lolote lile hakupotezi utambulisho wako kitaifa au kimataifa.Waasi wa M23 hawana itikadi za genocide kama walivyo waasi wa FDLR
Ni sawa na kumlaumu mwenye nyumba kuibiwa na wezi kwa sababu aliacha geti na milango wazi, it doesn't make sense.Genocide ilikua ni matokeo yaliyosababishwa na kuuawa Habyarimana. Mauaji ambayo yalifanywa na vikosi vya Kagame kwa amri yake.
Watu wanawaangalia kwa pua zao (Watusi) wanasahau kwamba hao ni Wacongo kama vile sie Watz Kuna wenye asili ya Asia ambao ni Watz wenzetu na tupo nao poa. Na haya mambo sijui yataisha lini kuangalia watu kwa jicho la Wahutu na Watusi wakati Rwanda wenyewe wanapenda kujitambulisha kama WanyarwandaMkuu unachanganya mambo....
M 23 ni wakongomani na ni waasi....unawarudisha wapi ?!!
Muasi anahukumiwa kwa sheria za nchi yake....Rwanda si nchi yao hao M 23......
Mkuu, hao M23 na FDRL wote ni vikundi vya waasi vinavyofanya vita ya kutaka kuondoa tawala zilizopo madarakani. Ni uongo mkubwa kusema M23 wako kuwalinda Banyamlenge, kwanini? Banyamlenge ni jamii iliyopo eneo fulani dogo kule DRC kwa karne kadhaa na M23 ni kikundi kilichoondwa miaka kadhaa ya karibuni na kinapigana kutaka kutawala DRC yote ndio maana kwa sasa wanasema wanapigana mpaka kuichukua KinshasaSiungi mkono uwepo wa MAJESHI ya kigeni yasiyoalikwa katika ardhi ya kigeni.....
Ila ......
M 23 haifanani na FDRL.....
FDRL ni wanyarwanda wanaotuhumiwa kufanya mauaji ya kimbari 1994.....
M 23 ni wakongomani wenye asili ya Kitutsi wanaodai kuwa serikali ya DRC inawabagua raia wake (Banyamulenge)....hawa siku nyingi wako DRC kabla ya "1994 Genocide".....
#Tanzania Kwanza!
Nilichokiandika hapa kuhusu msimamo wa Kagame ni kile kile kilicholetwa humu JF na senior member kadhaa wa Pro Kagame.We ulikuwepo kwenye kikao cha marais? Au kikao cha kijiweni kwenu?
Kasome kuhusu The Coalition for the Defence of the Republic(CDR) na Radio Télévision Libre des Mille Collines (RTLM) utaelewa kwa kifupi nini kilikuwa kinaendelea Rwanda wakati Genocide inakaribia. Hiyo Genocide iliandaliwa kwa muda mrefu sana, isingekuwa rahisi kwa mauaji ya watu karibia laki nane wauliwe kwa miezi minne tu bila maandalizi ya kupanga ya hali ya juu ya muda mrefu.Sasa kilicho trigger genocide ni kipibkama siyo kutunguliwa kwa ile ndege ilipikuwa inatua na kupelekea kuuawa kwa marais wa Rwanda na Burundi?
Sawa....Mkuu, hao M23 na FDRL wote ni vikundi vya waasi vinavyofanya vita ya kutaka kuondoa tawala zilizopo madarakani. Ni uongo mkubwa kusema M23 wako kuwalinda Banyamlenge, kwanini? Banyamlenge ni jamii iliyopo eneo fulani dogo kule DRC kwa karne kadhaa na M23 ni kikundi kilichoondwa miaka kadhaa ya karibuni na kinapigana kutaka kutawala DRC yote ndio maana kwa sasa wanasema wanapigana mpaka kuichukua Kinshasa
Mwenye dhamana ya kuwalinda Banyamlenge ni serikali ya DRC ama jumuiya ya kimataifa na wala sio Rwanda chini ya mwamvuli wa waasi wa M23.
Exquisite !Kasome kuhusu The Coalition for the Defence of the Republic(CDR) na Radio Télévision Libre des Mille Collines (RTLM) utaelewa kwa kifupi nini kilikuwa kinaendelea Rwanda wakati Genocide inakaribia. Hiyo Genocide iliandaliwa kwa muda mrefu sana, isingekuwa rahisi kwa mauaji ya watu karibia laki nane wauliwe kwa miezi minne tu bila maandalizi ya kupanga ya hali ya juu.
Hakika mkuu wangu...Naona hapo kama scenario tofauti, M23 ni Wa-Congo wenye asili ya Rwanda na wanapambana ndani ya nchi yao Congo hawatokei nje huku hao wengine ni Wanyarwanda wanaopambana na Rwanda wakitokea nje
Watu wanawaangalia kwa pua zao (Watusi) wanasahau kwamba hao ni Wacongo kama vile sie Watz Kuna wenye asili ya Asia ambao ni Watz wenzetu na tupo nao poa. Na haya mambo sijui yataisha lini kuangalia watu kwa jicho la Wahutu na Watusi wakati Rwanda wenyewe wanapenda kujitambulisha kama Wanyarwanda
Yaani mauaji ya watu 800,000 yapangwe ndani ya miezi 4 ?!!Sasa kilicho trigger genocide ni kipibkama siyo kutunguliwa kwa ile ndege ilipikuwa inatua na kupelekea kuuawa kwa marais wa Rwanda na Burundi?
Hujui historia ya mauaji, soma kuhusuMkuu bado unagusa juu juu tu kuhusu chanzo cha hao Intarahamwe (FDRL) kufanya mauaji ya halaiki.
Chanzo na kirusi kikuu kwenye haya yote ni Paul Kagame!! Asingetungua ndege ile, mauaji ya halaiki yasingetokea, hao Intarahamwe wasingekuwepo Kongo I na M23 wasingezaliwa??
Njia pekee ya kuututua mgogoro huu kwa sasa ni kumuondoa Paul kagame madarakani, au kumpa kichapo cha mbwa mwizi au umzima mazima.
Huo ndio ukweli!!
Wote kuua sio suala, suala ni wanapigania nini, lakini mbona hata Ali Kibao, Mawazo n.k wameuwaaa bongo na wengine wengi wamepotezwa, utasema waliofanya haya hapa bongo ni sawa na M23 au FDLR??Lakini si wote wanaua?
Acha ukabilaNyie banyamulenge ni wakabila, nyie shenzy ni wa kutengwa ktk hii dunia
Kagame ndio alitungua ile ndege ? Unajua kuna allegations, kuna facts, kuna what is believed na kuna different theories, sasa tuki base arguments zetu kwenye allegation moja hapo tutakuwa biased, na ili twende sawa ni bora tukaangalia watu is believed to have happened from reliable sources / investigations na hata kama hatukubaliani na matokeo basi tuseme hakuna conclusions na sio kuweka mawazo yetu kwamba ndio kilichotokea....Mkuu bado unagusa juu juu tu kuhusu chanzo cha hao Intarahamwe (FDRL) kufanya mauaji ya halaiki.
Chanzo na kirusi kikuu kwenye haya yote ni Paul Kagame!! Asingetungua ndege ile, mauaji ya halaiki yasingetokea, hao Intarahamwe wasingekuwepo Kongo I na M23 wasingezaliwa??
Njia pekee ya kuututua mgogoro huu kwa sasa ni kumuondoa Paul kagame madarakani, au kumpa kichapo cha mbwa mwizi au umzima mazima.
Huo ndio ukweli!!
The 1997 report of the Belgian Senate stated that there was not enough information to determine specifics about the assassination.[52] A 1998 report by the National Assembly of France posited two probable explanations. One is that the attack was carried out by groups of Hutu extremists, distressed by the advancement of negotiations with the RPF, the political and military adversary of the current regime, while the other is that it was the responsibility of the RPF, frustrated at the lack of progress in the Arusha Accords. Among the other hypotheses that were examined is one that implicates the French military, although there is no clear motive for a French attack on the Rwandan government. The 1998 French report made no determination between the two dominant theories.[20] A 2000 report by the Organisation of African Unity does not attempt to determine responsibility.[53]Although Habyarimana's assassins have never been positively identified, suspicion has focused on the extremists in his entourage—notably the semiretired Colonel Théoneste Bagosora, an intimate of Madame Habyarimana, and a charter member of the akazu and its death squads, who said in January 1993 that he was preparing an apocalypse.[51]
In 1998, the French anti-terrorist magistrate Jean-Louis Bruguière opened an investigation into the shootdown on behalf of the families of the French aircraft crew. On the basis of hundreds of interviews, Bruguière concluded that the assassination had been carried out on the orders of Paul Kagame, and issued arrest warrants against nine of Kagame's aides in 2006.[64][21] In protest, Rwanda broke diplomatic relations with France. In November 2008 the German government implemented the first of these European warrants by arresting Rose Kabuye, Kagame's chief of protocol, upon her arrival in Frankfurt.[65]We did not want to invest substantial resources only to have a judge refuse to confirm an indictment for lack of jurisdiction. I was not persuaded that the shooting down of the plane would in law constitute a war crime or a crime against humanity. It would be difficult to construe it as an act of genocide unless it was perpetrated by the leaders of the genocide to act as a trigger for the mass mobilization that followed. The situation was different fifteen years later. With all the high profile RPF defections and incriminating statements, it might have been possible to mount a case. [....] From a legal angle, it is not so much the shooting down of the plane that is of interest, but allegations of actions by the RPF that would have constituted crimes against humanity during the period of time (1994) over which the tribunal had jurisdiction. During my time at ICTR, we always assumed that this work would have to be done, but that we would have to be very cautious about how to proceed, preferably by working from outside the country. I understand however that from a historical perspective, the shooting of the plane will continue to be a great focus of speculation if there is no closure.[63]
Jumuiya ya kimataifa enzi hizi ni upuuzi mtupu, Jumuiya ya kimataifa ndio hiyo inayoongozwa na wendawazimu Trump na Putin itafanya nini.Mkuu, hao M23 na FDRL wote ni vikundi vya waasi vinavyofanya vita ya kutaka kuondoa tawala zilizopo madarakani. Ni uongo mkubwa kusema M23 wako kuwalinda Banyamlenge, kwanini? Banyamlenge ni jamii iliyopo eneo fulani dogo kule DRC kwa karne kadhaa na M23 ni kikundi kilichoondwa miaka kadhaa ya karibuni na kinapigana kutaka kutawala DRC yote ndio maana kwa sasa wanasema wanapigana mpaka kuichukua Kinshasa
Mwenye dhamana ya kuwalinda Banyamlenge ni serikali ya DRC ama jumuiya ya kimataifa na wala sio Rwanda chini ya mwamvuli wa waasi wa M23.
UpuuziTafuta speech ya Mama akiwa anafungua mkutano iko very touching , yaani Mama Kamshitakia Mungu,pale alipo sema history itatuhukumu juu ya damu za watu wasio kua na hatia!!