Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda Waisrael

Toka uhuru hadi mwaka 94, chini ya wahutu walio wengi Rwanda na uchumi mbovu kuliko hata Malawi.

Leo hii baada ya watutsi kuingia madarakani, uchumi wa Rwanda ni mkubwa kuliko wa Burundi, Malawi na nyingine nyingine nyingi tu.
Kwa kweli wanajitahidi mno kuijenga nchi yao
Kama coincidence 🤔 tu leo nilipita Heathrow Airport nikaiona ndege yao imepaki hapa
Kupaki hapo na kutua tu Heathrow ni gharama kubwa mno ila wao wameingia na wanarusha ndege zao mpaka hapa
Safari ijayo ntapanda RwandAir mpaka Kigali halafu napumzika kidogo na kula Bata
Sisi zetu kutua hapa ni ndoto bado
 
Bora Kagame ana deal na maadui zake. Ila Netanyahu anauwa wanawake na watoto wa changa hata waliozaliwa leo.
Wee jamaa kweli shabik maandazi kagame amefanya mauaji ya kimbari DRC kwa miongo na miongo leo unamtetea , sisi tunasema kagame apigwe na mimi nimetoa mi 5 ya kifo kwake hadi utawala wake save the date
 
Yaani umejaza mavitu meengi ya kiupotoshaji eti Nkurunziza alituma kikosi rwanda duuuh siyo kweli ni vice versa kagame ndye alituma vikosi kuivamia burundi kupitia mkoa wa cankuzo baada ya burundi kuusoma mchezo walitega ambush kwakuruhusu wavamizi kuingia kirahi then wakashambuliwa kutoka nyuma huku wakisukumwa nchini burundi kati nakumbuka mpaka mashirika ya kutetea haki za binadamu walipiga kelele kwa kilichowakuta wa vamizi na km hulijui hilo ingia Google utapata taarifa hiyo
 
Afrika kusini asilimia 99 ni wakristo wa madhehebu mbali mbali akiwemo hayati Desmond Tutu, lakini wanaichukia Israel zaidi ya vile wewe unavyowachukia waislam.
Wanaichukia Israel Afrika kusini ni viongozi wa serikali ambao ni wanachama wa chams cha ANC ambacho kilisaidiwa na jeshii la wapalestina walipokuwa wakipigania uhuru

Sio msimamo wa Wakristo wa zafrica kusini
 
Picha na video umesahau.
Wengine ni wavivu wa kusoma wanafuata hizo kwanza
 
Hili nakuambia tu uhifadhi kwenye fuvu lako siku kagame akijichanganya tu pale rwanda patafuka moshi zaidi ya 1994 maana wahutu mmewatenga serikali nzima mmjeaaa watusi sasa unafikiri wahutu ni mafala wametulia tu wanawachola mjchanganye tu wanapiga panga km 1994
 
Hawa jamaa me sijawah wakubali kabisa..... Sijui wanajikutaga Nani😎😎
 
Binafs Kagame namkubali ni kiongoz makin zaid East Africa hii na nch zote za jiran, Shida yake ni hana utu kabisa linapokuja swala la kuilinda na kuimalisga empire yake anafanya chochote bila huruma.
 
Asante mkuu, huwa nakubali mtu akinisahihisha kistarab na kisomi kama ulivyofanya wewe. Shukran sana mkuu.
 
Jamaa wanajitambua sana mkuu, sio kama Israel inaishi kwa kutegemea kila kitu kutoka US, UK, France na German.
 
Wee jamaa kweli shabik maandazi kagame amefanya mauaji ya kimbari DRC kwa miongo na miongo leo unamtetea , sisi tunasema kagame apigwe na mimi nimetoa mi 5 ya kifo kwake hadi utawala wake save the date
Vipi na Netanyahu anaeuwa maelfu ya watoto na kina mama, yeye utatoa ngapi kwa kifo chake na utawala wake?
 
Mtoa post nakukumbusha Rwanda hakuna Demokrasia kama nchi zingine, jiulize mwisho wa kagame utakuwaje? Angeweka msingi wa demokrasia hapo ningekubali lakini mwisho wake hautakuwa
mzuri kwa maadui alionao.
 
Binafs Kagame namkubali ni kiongoz makin zaid East Africa hii na nch zote za jiran, Shida yake ni hana utu kabisa linapokuja swala la kuilinda na kuimalisga empire yake anafanya chochote bila huruma.
Ukiwa na huruma ndo matokeo yake fedha za miradi ya barabara, shule na hospital zinaliwa huku wewe mwenye mamlaka ya kuwahenyesha wenye kutafuna miradi ukiendelea kuwaonea huruma tu, bila kujali maelf ya raia wako wanakufa na magonjwa kwa kukosa hospital, wanafunzi wanashindwa kwenda shule kwa kukosa usafiri maana gari haziwezi kufika sehem ambayo haina barabara, wanafunzi wengi wanasomea chini ya miti kwa kukosa shule, madarasa nk.

China leo imepiga hatua kubwa kwa sababu ya viongozi wao kuweka huruma pembeni.
 
Sahih kabisa, Habar gan kwa majanga anayoyasababisha kwa Wakongo wasio na hatia?
 
Deeply and emotional reply kwa jamaa hongera sanaa kwa jumfahamisha S.A na Israel ni tofauti,isitoshe sikujua kama Israel ndo alikua akiwauzia silaha makaburu licha kuwekewa vikwazo makaburu lkn Israel akajenga viwanda huko huko..inshort S.A imejengwa na Israel majengo mengi waliyajenga wao
 
Israel ni taifa lililojaa damu toka zamani. Lili support makaburu wawamalize waafrika wenzetu huko bondeni.

Isingekuwa Mungu kuingilia basi ndugu zetu wangekufa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…