Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda Waisrael

Jamaa wanajitambua sana mkuu, sio kama Israel inaishi kwa kutegemea kila kitu kutoka US, UK, France na German.
Wanajitahidi sana na ni nchi hata ya kwenda kufanya biashara hapo maana hakuna usumbufu ukitaka leseni ya biashara ni 24hrs umepewa

Israel hawezi kujilinda bali analindwa kama baadhi ya nchi za Gulf
 
UPUMBAVU MTUPU SIJUI KWANINI WAAFRICA MNAPENDA MAMBO YA UKABILA UKABILA NDO WAZUNGU WANATUONA HATUNA AKILI
 
Uliponichefua hapo ulipodai Rwanda inajitegemea
Ukiilinganisha na Israel ni kama vile Rwanda inajitegemea. Haijawahi kuomba msaada wa jeshi wala silaha kutoka Marekani ili ajilinde na maadui wanaoizunguka. Lakini pia hajawahi nchi yoyote iwalinde. Israel inaomba msaada wa silaha kutoka kwa nchi zingine, inadaidiwa kijeshi na pia inalondwa na nchi zingine. So tofauti ipo kati yao.
 
Wanajitahidi sana na ni nchi hata ya kwenda kufanya biashara hapo maana hakuna usumbufu ukitaka leseni ya biashara ni 24hrs umepewa

Israel hawezi kujilinda bali analindwa kama baadhi ya nchi za Gulf
Ni kweli kabisa ulichoandika.
 
Kwanza ,ujue Rwanda ndo nchi pekee afrika inayopata misaada kuliko nchi yeyote afrika (inaongoza)

kuhusu misaada ya kijeshi(ipi unayozungumzia kwasababu Kuna vifaa na vita yenyewe)

Sasa kama unazungumzia vita Rwanda aanze kuomba msaada anapigana na nanani ili aanze matangazo yamsaada
 
watusi ukabila utawapeleka pabaya sana.
Ukabila aliuanzisha mungu wa wayahudi kwa kusema kuwa ameichagua Israel pekee kuwa taifa lake pendwa, na wakati ameumba zaidi ya mataifa mia moja ikiwemo nchi yako Tanzania. Yani kwake yeye taifa la mashoga ni bora kuliko taifa lako linalopambana kupiga vita ushoga. Pia amechagua kuwa upande wa wayahudi sio upande wenu nyinyi wapogoro wa kiafrika ambao hana mpango na nyinyi.
 
Wanaichukia Israel Afrika kusini ni viongozi wa serikali ambao ni wanachama wa chams cha ANC ambacho kilisaidiwa na jeshii la wapalestina walipokuwa wakipigania uhuru

Sio msimamo wa Wakristo wa zafrica kusini
Ama kweli ujinga hauwezi kuisha Tanzania. Yani Palestina ambayo toka mwaka 1948 inaomba isaidiwe na nchi nyingine kurudisha ardhi yao ilioporwa na wazungu kina Netanyahu alaf iwe na uwezo wa kuisaidia Afrika kusini kupambana na kaburu huku wenyewe wakishindwa kupambana na waingereza waliojivika ngozi za wayahudi.

Tafuta utetezi mungine kuhusu Afrika kusini ila sio huu, umechapia mkuu.
 
Kwani wewe huyaoni makundi yanayojaribu kuhatarisha usalama wa Rwanda? Au haupo ktk dunia hii?
 
Kwani wewe huyaoni makundi yanayojaribu kuhatarisha usalama wa Rwanda? Au haupo ktk dunia hii?
Hili dude ,pekeka kwenye jukwaa lenu Rwanda JF kosa umefahamu kiswahili kidogo tu ,unaanza kutuletea ukibwebwe hapa ,makundi Gani yavamie rwanda
 
Hili dude ,pekeka kwenye jukwaa lenu Rwanda JF kosa umefahamu kiswahili kidogo tu ,unaanza kutuletea ukibwebwe hapa ,makundi Gani yavamie rwanda
Haya tumekusikia muhutu wa Burundi
 
Sijasoma hata robo jamvi lako ila wewe mru wa Rwanda upo hapa kusifia be nchi yako haiwezekan utume hilo tote
 
Nimekuja mbio nikajua naangalia picha kumbe naangalia maandishi. Nimeishia kuyaangalia tu
 
mungu wa wayahudi ni wao mimi hanihusu.
watusi siku zenu hapo kigali zinahesabika.. ni suala la muda tuu.. pananuka siku yeyote hapo.
 
nyie watusi wenyewe mmepora ardhi ya wahutu hamjioni au?
 
Bora Kagame ana deal na maadui zake. Ila Netanyahu anauwa wanawake na watoto wa changa hata waliozaliwa leo.
Mauwaji ya kimbali akuua watoto wanawake na wazee?. Mnapotetea mambo yenu kichuki mnasahau na kuwatakasa waovu. Kagame Hana tofauti na wauwaji wengine
 
Hakuna sehemu iliyotajwa dini. Afrika Kusini asilimia 99 ni wakristo wa madhehebu mbali mbali akiwemo hayati Desmond Tutu. Lakini wanaichukia Israel kwa matendo yake machafu zaidi ya wewe unavyowachukia waislam.

Kwani waizirael ni wakristo? Au kuna uhusiano gani kati ya waizirael na ukristo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…