Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda Waisrael

Kwa hiyo kujilipua ndio akili?utumwa na uchukiwe na kila mwenye akili timilifu.
 
Rwanda inaishinda Israel kijeshi, kwa sababu Rwanda inapambana na maadui zake yenyewe. Ila Israel inapambana na maadui zake kwa kupitia msaada wa Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujeruman na nchi zingine za magharibi.
Israel inapambana na magaidi dunia nzima ukiwemo wewe ambaye ni gaidi uliyekosa vitendea kazi.
 
mungu wa wayahudi ni wao mimi hanihusu.
watusi siku zenu hapo kigali zinahesabika.. ni suala la muda tuu.. pananuka siku yeyote hapo.
Endelea kuota huku unatembea mchungaji.
 
nyie watusi wenyewe mmepora ardhi ya wahutu hamjioni au?
Wahutu kwao ni Burundi na centre afrika, pale Rwanda walikaribishwa tu ndomaana ilikuwa rahisi kuwatimua na hawatorudi tena. Labda nyinyi waisrael muwachukue mkawaweke kwenu.
 
Mauwaji ya kimbali akuua watoto wanawake na wazee?. Mnapotetea mambo yenu kichuki mnasahau na kuwatakasa waovu. Kagame Hana tofauti na wauwaji wengine
Mauaji ya kimbari yalianzishwa na wahutu kuwachinja watutsi. Walichinja wakina mama, watoto, wazee, walemavu na wahutu wenzao wenye msimamo wa wastani.

Kasome historia.
 
Kwa hiyo kujilipua ndio akili?utumwa na uchukiwe na kila mwenye akili timilifu.
Mbona unaandika mambo ambayo hayaeleweki? Hivi uliwahi kupelekwa shule kweli!
 
Rwanda inaishinda Israel kijeshi, kwa sababu Rwanda inapambana na maadui zake yenyewe. Ila Israel inapambana na maadui zake kwa kupitia msaada wa Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujeruman na nchi zingine za magharibi.
Sasa huelewi nini hapo? Umesema mwenyewe akina NETANYAHU ni wazungu waliotoka ulaya. Sasa hutaki tena wazungu walinde himaya yao? Usiwapangie watu mambo yao. Ninyi kama mnataka ipigeni Israel na kuifuta. Habari ya kusaidiwa sijui na nani hiyo achana nayo hata raisi Samia anawasaidizi wake.
 
Ulikuwa umejaribu kutiririka ingawa kwa kuchanganyachanganya! Angalau ungeifananisha Rwanda na Israel kihistoria ungeeleweka vizuri.
Israel baada ya kupitia maangamizi ya Holocost,walifanikiwa kuwekeza katika tecnolojia na sasa ni moja ya taifa lenye nguvu kijeshi na hata kiuchumi duniani kuliko hata majirani zake Waarabu!
Hali kadharika Rwanda baada ya kupitia mauaji ya kimbari imepiga hatua kubwa kijeshi na kimaendeleo kuliko nchi majirani zake.
Lakini kuifananisha Rwanda na Palestina huku ukiiponda Israel bado umeandika ukiwa na hisia za kishabiki.
 
Umeandika ujinga kijana. Nyinyi mmekuwa mkiisifu Israel kuwa ina nguvu, huku mkificha ukweli uliokiri hapa kuwa nguvu hizo zinasababishwa na usaidizi wa wazungu.

Sasa kilichofanyika siku kadhaa zilizopita, ndo kimeashiria kuwa Israel haiwezi kupambana yenyewe na Iran bila kusaidiwa. Halaf inawezekana vipi wazungu walinde himaya yao. Himaya ya wazungu ipo Ulaya na sio Mashariki ya kati.

Tumia akili, badala ya tundu kufikiri.
 
Tatizo lenu vijana wengi mnakimbilia ku comment bila kusoma na kufikiri vizuri kile mnachoandika. Tecnolojia iliyopo Israel ni ya wamarekani, waingereza na wazungu wengi. Kabla sim na mitandaoni ya kijamii kuja ndo tulikuwa tunalishwa matango pori na kudanganywa kuhusu kile ulichoandika hapa. Na uongo huo ulienezwa zaidi na vyombo vya habari vya propaganda vya magharibi ili kuipa promo tu isiostahili.

Sasa kinachoendelea leo huku tukiishuhudia wenyewe kupitia mitandao na sio kulishwa matango pori kama zamani, kinaonesha wazi kuwa jamaa hawana nguvu yoyote kijeshi, hawana tecnolojia yoyote ya kwao wenyewe zaidi ya kuwatumia wamarekani na waingereza wanaoishi Israel na kujifanya wayahudi wa mchongo. Hata hivyo hayo mataifa ya kiarab mengi ni washirika wa magharibi, hivyo wanaweza kuwa sawa kijeshi na kiteknolojia na Israel au wakashindwa kidogo.

Lakini kamwe hao waisrael wako na waarab kwa ujumla wao hawagusi wala kusogelea teknolojia na nguvu walizonazoo waajemi (Iran) Najua kwa ukilaza wako, unafikiri kuwa Iran ni waarab, maana ndo uwezo wako na wa wenzako wa akili ulipoishia. Haujui na wala haijawahi kusoma historia kuwa waajemi (Iran) waliwahi kuwa na himaya kubwa ambayo ilitawala eneo zima la mashariki ya kati miaka zaidi ya 3000 iliyopita, kabla hata Yesu hajazaliwa, kabla hata wagiriki na waroma hawajatia mguu eneo hilo.

Hivyo Iran ni taifa lenye historia ya ubabe na la zaman zaidi ya hizo nchi zako ulizoandika hapa. Ndomaana unaona inafanyika juhudi kubwa ya kuiwekea vikwazo vya silaha, uchumi nk kwa zaidi ya miaka 70, lakini vikwazo hivyo vimeshindwa kusaidia kuinusuru Israel na mashambulizi ya Iran pale inapoamua kufanya hivyo.
 
Naona huna unachojua kuhusu Israel na histori yake! Kwanza Iran inategemea kwa kiwango kikubwa Tekonology ya Warusi kijeshi.
 
Wahutu kwao ni Burundi na centre afrika, pale Rwanda walikaribishwa tu ndomaana ilikuwa rahisi kuwatimua na hawatorudi tena. Labda nyinyi waisrael muwachukue mkawaweke kwenu.
watusi ndo mlikuja rwanda kama wageni, ila nashangaa sa ivi mnasema hapo ndo kwenu, nyie sio wabantu kabisa sasa iweje mseme rwanda ni kwenu? nyie asili yenu ni ethiopia na eritrea, mnatakiwa mrudi huko kwenu ili amani ya east africa irudi kama mwanzo
 
Si ukajiandikishe tu mujahidina upigane vita
 
Kama unaamini Rwanda inajitegemea bila msaada wa wazungu na hao wazungu hawana mkono kwenye mauaji ya kimbari na wako nyuma ya PK kwenye machafuko anayoendeleza nchini Kongo utakuwa una uelewa mdogo sana juu ya siasa za maziwa makuu. Kwanza huyo Kagame bila baba yake Museveni ni takataka kabisa,Makamanda waliopigana naye vita ya msituni wanamwelezea kama ni mtu mwoga na asiye na uwezo kwenye mstari wa mbele vitani, aliishi kwa kubebwa na Museveni kwa sababu alikuwa "chawa' wake.Amewaua wote waliokuwa na uwezo zaidi yake akiwemo godfather wake Major Gen Rugyema
 
Kama umeliona hili unahisi ni nini kifanyike kuiepusha machafuko kutokea tena?

Chukulia wewe kama mpatanishi wa na balozi wa amani katika eneo la maziwa makuu ni kipi utafanya kuepusha huo mzozo ambao unatazamiwa kutokea?

Ni kweli kwamba wahutu ni karibia 80% na watusi ni 20%, lalamiko lako la wahutu kunyimwa nafasi katika uongozi, huoni kuwa kama itatokea hivyo pengine ikawa ndio sababu ya fdlr kujipenyeza na kutekeleza walichokifanya mwaka 1994?

Naomba ujibu bila kufuata ushabiki. Na ujibu kama problem solver and avoid to be more of the judgemental because it is the sign of low capacity.
 
Hakuna sehemu iliyotajwa dini. Afrika Kusini asilimia 99 ni wakristo wa madhehebu mbali mbali akiwemo hayati Desmond Tutu. Lakini wanaichukia Israel kwa matendo yake machafu zaidi ya wewe unavyowachukia waislam.
Afrika kusini wameruhusu ushoga.
 
Mtoa post nakukumbusha Rwanda hakuna Demokrasia kama nchi zingine, jiulize mwisho wa kagame utakuwaje? Angeweka msingi wa demokrasia hapo ningekubali lakini mwisho wake hautakuwa
mzuri kwa maadui alionao.
Kwa Nchi yenye makabila ambayo supercifially yanaonekana kupatana lakini underneath kuna fukuto la uadui. Kuachia demokarasia itawale ni kupalilia genocide nyingine. Kumbuka kuna makundi yenye uhasimu yaliyofurushwa nje ya nchi.

Rwanda haiko tayari genocide kutokea tena, hata ubabe wa Kagame wananchi wake ni wa nia hiyohiyo. Akiwachekea sana watu yatajirudia yakujirudia.

Na mambo kama hayo yakitokea mataifa ya karibu yanayopalilia uhuru wa demokarasia yanakaa kimya kama vile hayakuhusika kukosoa.

Wakati genocide inatokea UN, Mataifa ya Magharibi, Nchi za East Africa zilikuwa kimya kama vile hazielewi kinachoendelea.

Sasa Mtu akijihami kivyake anaonekana mbaya. Muacheni ajihami hayuko tayari kuona Genocide nyingine.
 
Umeanza vizuri sana ukamalizia vibaya mno!!

Jamii ya waebrania ni ya watu weusi waliowengi sana sio weupe!!

Ndio maana yesu alienda kujificha misri ya kale iliyokua inakaliwa na weusi Ili afanane nao wasije mkamata wakamuua kama amri ya herode!!

Hai unaowaona waisrael sio waisrael Bali damu ya waturuki,wajerumani,wazungu n.k

Wewe hapo ulipo na utanzania wako weusi wako ni rahisi kufananishwa na muisrael kuliko hasta hai unaowataja waisrael!!!

INGEKUA RAHISI SANA YESU KUJIFICHA TANZANIA HERODE ASIMUONE KULIKO KUJIFICHA ISRAEL KWA HAO WEUPE!!!

Hilo sio Taifa la israel bali Taifa la mchongo Kwa ajili ya kudhiti nchi zenye utajiri was mafuta !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…