Hili swali tuulizane j5 bwana mtani...Olunga yule aliyewafunga nifah na Danny greeny!? Kapiga ngapi!?
hawa telecom wawaombe radhi yanga mapemaaa maana leo inawezekana yakajirudia yaliyowakuta coast union.
SSC mabingwa mara sita kagame cup.
youngsharoBaro nani anaongoza kwa kulichukua!?mwaka wa mwisho SSC kuchukua kombe ni 2002, miaka 13 now, umri wa mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo standard 6.
mwaka wa mwisho SSC kuchukua kombe ni 2002, miaka 13 now, umri wa mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo standard 6.
Nipo hapa mkuu, mtani wangu ambaye nakuonea huruma sana....Tujadili kipute chenu.. Nyie "Mwajuma ndala defu" hamtuwezi "wafalme Wa nyika"
nifah upo mama!?
Tujadili kipute chenu.. Nyie "Mwajuma ndala defu" hamtuwezi "wafalme Wa nyika"
nifah upo mama!?
Sasa hivi mko wapi wakati wanaume wanasaka kombe la Kagame?
Polite answer: Zanzibar!
Hahahaaa umejuaje kama atajibu kiupole mkuu?
Hahahaaa umejuaje kama atajibu kiupole mkuu?
Upole umekuja baada ya kuona hamna jipya mjini hapa.Anajua sisi SSC ni WAPOLE, WAUNGWANA na WASTAARABU SANA.
Wasudan wanapiga goli la 2