Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Hivi wale wa Lushoto walibeba kombe?

Leo tunapiga tena mtu.

Come on Azam Fc
 
hawa telecom wawaombe radhi yanga mapemaaa maana leo inawezekana yakajirudia yaliyowakuta coast union.
 
hawa telecom wawaombe radhi yanga mapemaaa maana leo inawezekana yakajirudia yaliyowakuta coast union.

Hata wakiifunga goli mia hakuna heshima yoyote kwa Yanga! Ukiwa unadundwa na wanaume wenzio halafu ukafanya umwamba kwa mwanamke ni aibu tupu! Telecom siyo timu ya kujisifu kuifunga! tayari ilishabugizwa mkono! Yanga haiwezi kurudisha heshima inayoyoyomea kwa kuwafunga telecom!
 
mwaka wa mwisho SSC kuchukua kombe ni 2002, miaka 13 now, umri wa mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo standard 6.

Na makombe yote yalichukuliwa Dar, moja Zanzibar ndani ya URT, ha ha haaa..., wazee wa mchangani kweli!
 
Na makombe yote yalichukuliwa Dar, moja Zanzibar ndani ya URT, ha ha haaa..., wazee wa mchangani kweli!

Tujadili kipute chenu.. Nyie "Mwajuma ndala defu" hamtuwezi "wafalme Wa nyika"
nifah upo mama!?
 
Last edited by a moderator:
Tujadili kipute chenu.. Nyie "Mwajuma ndala defu" hamtuwezi "wafalme Wa nyika"
nifah upo mama!?
Nipo hapa mkuu, mtani wangu ambaye nakuonea huruma sana....
Umeishia kucheza mechi za mchangani tu ilhali mwenzio napasua kichwa kuwazia mechi kubwa kama hizi...
Hapo bado ligi ya Mabingwa!
 
Last edited by a moderator:
Naomba link ya online (mtandaoni) ninayoweza kutazama mechi ya Yanga na Telecom leo... tafadhal mwenye nayo anisaidie.
 
Huyu Anthony Matteo wa KMKM ni mtamo kama "Mcharo".dogo anaweza
 
Back
Top Bottom