Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Mikia imetangulia zenji kumpokea looser mwenzie kmkm
 
Kama tingatinga likiwa layer ya mizizi kazi kidogo mambo ya layer yachini linakandamiza 3 au 2
 
poleni sana simba wazee wa mchangani haya washangilieni al khartoum kama kawaida yenu
 
Kitu kimekwisha au mkia wanajua moto wa Yanga hawaongei
 
Wakati naleta mada hapa jamvini zilikuwa dk 450 sasa zimebaki dakika 360.
 
hamna kitu hapa! kuifunga kmkm sawa na kuifunga Changanyikeni Rangers FC.
 

Mfalme njozi, pole!
 
Yanga imara daima mbele,na kweli tumeona safari ya ubingwa imeanza leo
 
Daima Mbele nyuma mwiko,ukiwa yanga na arsenal ni raha sana,nashusha ka ndovu bariidi kujipongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…