Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yanga gud sana nimeipenda
Makandambili yanapigwa leo
Kuna siku mtajuta kwanini hamkuanza kuishabikia Azam FC mapema.
Habari wana sports wa jf,Kama nilivyoeleza katika kichwa cha habari hapo juu.
Leo tunaanza safari ya kuchukua ubingwa wa kombe la kagame,Na SAFARI HII ITATUCHIKUA TAKRIBANI DAKIKA 450.Tunamfunga kmkm leo then anakuja huyo khartoom al watani jpili naye anachapwa.TUNAKWENDA ROBO FINAL YEYOTE ATAKAYEJIPENDEKEZA TUNAPIGA ATAKAYEKUJA NUSU FINAL NAYE HIVYO HIVYO NA KWA KUWA TUNAHITAJI HUU UBINGWA BASI HATA FINAL TUTASHINDA TU MAANA HAMNA NAMNA NI LAZIMA WAFUNGWE TU.
Go go go go go go YOUNG AFRICAN SC.