Yanga mbele milele nyuma mwiko haturudi.
Ila hawa Gor Mahia ni hatari.. Natamani yanga warudiane nao... Mnisameheee
Striker wa Yanga bado
Mikia naskia imeenda kujificha zenji
Mikia imetangulia zenji kumpokea looser mwenzie kmkm
Daima Mbele nyuma mwiko,ukiwa yanga na arsenal ni raha sana,nashusha ka ndovu bariidi kujipongeza.