Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kama kawaida. Watu walikua wanashangaa kufungqa mechi moja ya kwanza. Si ndio zetu,lakini sasa wataona vumbi mpaka fainali na ubingwa.
 
Wao wapo busy kutafuta ndumba kwa ajili ya game mbili za ligi dhidi ya yanga, huku sisi tukitafuta taji la sita la kagame cup lakini pia tukijiandaa kisawa sawa kwa ajili ya msimu mpya wa ligi.
Kabla ya kuanza ligi kuu tutakuwa tuna vikombe viwili yaani Kagame cup + Ngao ya jamii.




Naipenda YANGA.
 
Ila hawa Gor Mahia ni hatari.. Natamani yanga warudiane nao... Mnisameheee

Hata sisi tunatamani turudiane nao.

▶Licha ya Yanga kucheza pungufu
▶Licha ya Yanga kutumia wachezaji wapya wengi
▶Licha ya Yanga kucheza na timu ambazo bado zipo katika ligi (hawako mapumzikoni)
▶Licha ya Yanga kutokuwa kwenye form yake
▶Licha ya Yanga kuwa pungufu dhidi ya Gor Mahia

Lakini waliisoma namba.. Hadi walitamani kipenga kipigwe.

Na kipenga kilivyo pigwa, walipiga Magoti na kishukuru mungu pale pale kiwanjani
 
Msifikeuko sasa tushabikie kwa upendo bana
 
Back
Top Bottom